Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Bora nishangilie Tembo worries sio Taifa Stars bora ingekuwa Timu ya jeshi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajui mpira wale wanachezea mdomoniTanzania tuna wachambuzi wa soka wazuri sana na inavyoonekana mpira wanaujua vizuri tu,sasa kwanini tusiwape timu ya taifa ili waifundishe?Maana ukiwasikiliza baada ya mechi wanakueleza kocha alikosea wapi na kama angetumia mbinu Fulani angepata matokeo chanya. Naamini kwa pamoja wakiunganisha mawazo yao kuifundisha timu ya taifa tutapata timu ya taifa nzuri sana na yenye ushindani mkubwa na hatimaye tutafikia mafanikio tuliyoyangoja kwa muda mrefu.
Nawasilisha.
Nawanajua kuchambua baada ya mpira na sio kablaTanzania tuna wachambuzi wa soka wazuri sana na inavyoonekana mpira wanaujua vizuri tu,sasa kwanini tusiwape timu ya taifa ili waifundishe?Maana ukiwasikiliza baada ya mechi wanakueleza kocha alikosea wapi na kama angetumia mbinu Fulani angepata matokeo chanya. Naamini kwa pamoja wakiunganisha mawazo yao kuifundisha timu ya taifa tutapata timu ya taifa nzuri sana na yenye ushindani mkubwa na hatimaye tutafikia mafanikio tuliyoyangoja kwa muda mrefu.
Nawasilisha.
ally mayai walau kidogo kwasababu alishawahi kucheza, sio mbaya tukimwamini walau kidogo.Ali Mayai mchambuzi maarufu amewahi kucheza soka klabu kubwa nchini. Hebu tupate track records zake versus uchambuzi wake nowdays.
Mtu anaishi Oyster bay miaka yote halafu anamshauri mtu wa kyela namna ya kilimo Bora Cha mpunga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatoa ushauri Kama wale ambao wanatoa elimu ya kilimo kupitia online
Gary Neville piaMuulize Henry,
Hakuna kitu kirahisi kama kukosoa au kusifu kitu baada ya matokeo
Yaani timu tumpe Privadinho..Tanzania tuna wachambuzi wa soka wazuri sana na inavyoonekana mpira wanaujua vizuri tu,sasa kwanini tusiwape timu ya taifa ili waifundishe?Maana ukiwasikiliza baada ya mechi wanakueleza kocha alikosea wapi na kama angetumia mbinu Fulani angepata matokeo chanya. Naamini kwa pamoja wakiunganisha mawazo yao kuifundisha timu ya taifa tutapata timu ya taifa nzuri sana na yenye ushindani mkubwa na hatimaye tutafikia mafanikio tuliyoyangoja kwa muda mrefu.
Nawasilisha.
swadaktaMuulize Henry,
Hakuna kitu kirahisi kama kukosoa au kusifu kitu baada ya matokeo