watatufungisha, wanajua tu kukosoa pale kwenye screen.Tanzania tuna wachambuzi wa soka wazuri sana na inavyoonekana mpira wanaujua vizuri tu,sasa kwanini tusiwape timu ya taifa ili waifundishe?Maana ukiwasikiliza baada ya mechi wanakueleza kocha alikosea wapi na kama angetumia mbinu Fulani angepata matokeo chanya. Naamini kwa pamoja wakiunganisha mawazo yao kuifundisha timu ya taifa tutapata timu ya taifa nzuri sana na yenye ushindani mkubwa na hatimaye tutafikia mafanikio tuliyoyangoja kwa muda mrefu.
Nawasilisha.
Thanks,nakuelewa kaka lakini wapo wachambuzi wengine wanajiita waalimu au makocha kabisaUchambuzi wa mpira umebase kwenye matokeo (Analysis after the event) na ukocha ni tactics before the event. Kocha hajui mbinu za adui ila anaamini akitumia mbinu flani kutokana na nguvu na umakini wa kikosi chake kitaleta matokeo mazuri.
Mchambuzi hakosolewi wala kutupiwa makopo ya maji na juice uwanjani bali kocha hukutana na hizo changamoto team inapofanya vibaya. Now you can be able to differentiate the two.
Ali Mayai mchambuzi maarufu amewahi kucheza soka klabu kubwa nchini. Hebu tupate track records zake versus uchambuzi wake nowdays.watatufungisha, wanajua tu kukosoa pale kwenye screen.
... Eti wapiga chabo! Means hawana effect yoyote kwenye mechi au sio?Wachambuzi ni kama wapiga chabo tu.Hawawezi kusaidia chochote.Wao sawa na wapenzi wa mpira wataalamu baada ya mpira kwisha na misamiati yao. Sijui mchongo. Mpira ni sayansi inahitaji kusomea ili uweze kufundisha.
Umenielewa haswa.... Eti wapiga chabo! Means hawana effect yoyote kwenye mechi au sio?