Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Wakuacha kabisa ni

Polepole
Mwigulu
Kabudi
Kalemani
Bashiru
Ndalichako

List goes on
Duh hao mnawaonea, ningetamani kuona Bashiru anakua VP, na Mwigulu akibaki kumsaidia mama wizara ya Fedha,Pole pole huku mitaani amekua Shujaa wa kusaidia wanyonge wamuache
 
Kama alikuwa na uoga kipindi hicho ni kwa sababu alikuwa anafanya kazi chini ya mtu.

Lkn leo hii baada ya kula kiapo tayari anajiamini kuliko jana.

Ana uwezo wa kuamua jambo lolote kama Jemedali wa taifa
 
Hakuna wa kuzuia mabadiliko ya kiuchumi na kujitegemea. Tumepata sababu mpya za kutekeleza maono ya Nyerere kupitia Magufuli
 
Hivi Lissu si anaweza Kuhamia CCM ndani ya siku 50 na kutawazwa Makamu wa Rais?
 
Ushauri wangu kwa MH. Rais ni kuanzisha mchakato wa Kariba mpya. Utakumbukwa hadi ukamilifu wa dahari
 
Tunajivunia nidhamu serikali na ongezeko la ubora wa utendaji serikalini na mashirika yake mambo makubwa aliyoleta magufuli. Hata wapinzani wa ovyo kama lissu hawawezi kupinga hilo...
Kivipi
 
Tunajivunia nidhamu serikali na ongezeko la ubora wa utendaji serikalini na mashirika yake mambo makubwa aliyoleta magufuli. Hata wapinzani wa ovyo kama lissu hawawezi kupinga hilo...
Hizi habari za umungu mtu zinaishia tarehe 25/3!! Baada ya hapo tutarejea kwenye mfumo wetu tulio uzoea wa utawala bora! Udikteta uchwara utabakia tu kuwa historia.
 
Kwa upande mwingine wapinzani wanalaumu usimamizi imara wa serikali wa magufuli kusimamia haki na sheria eti wanaita udikteta
Itakuwa hujui maana ya haki mleta mada.

Hebu mgeukie mamako mzazi hapo ulipo halafu muulize:
Kuteka, kuuwa na kufilisi watu ni haki?
Kuonea watu na kuwabambika makosa ya uhujumu uchumi ni haki?

Akikupa majibu rudi hapa.
 
Itakuwa hujui maana ya haki mleta mada.

Hebu mgeukie mamako mzazi hapo ulipo halafu muulize:
Kuteka, kuuwa na kufilisi watu ni haki?
Kuonea watu na kuwabambika makosa ya uhujumu uchumi ni haki?

Akikupa majibu rudi hapa.
Hujui maana ya dola. Unaweza kutafsiri vyovyote ila lolote kwa kulinda maslahi ya umma linafanyika kwa mujibu wa sheria. Unaweza kuita utekeja uuaji etc hiyo ni juu yako.
 
Dah yani hapa tulipo ni ngumu kushauri chochote kwakweli . Marehemu alifanya kila kitu kiwe kinamsujudia yeye/kampuni binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…