battawi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 2,712
- 2,577
Mama Wafute watanzania Machozi. Magufuli alipeleka vilio kwa Watanzania wengi. Leo sisi Tunamlilia yeye kwa Uchungu, maana si dhani kama aliona kuwa aliyotufanyiani makosa mbele za Mungu. Huenda Hakutubu, sas msaidie Mpendwa wetu kwa kumtakasa.Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:
1.Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2.Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa
3.Futa Mpango wa kujenga Daraja la Mwanza la ziwani
4.Ondo miradi ya Maendeleo ya maji chato
5.Ondoa makao makuu Dodoma, na turudi Dar
6. Futa strogiers gourge..tuendeleze gas na tuwape makampuni binadsi kuzalisha umeme ili tupate ajira zaidi
7.Futa SGR ili hera ziendele kwenye maendeleo ya watu na siyo ya vitu
8.Fut mambo ya EFD kwani yanasababisha biashara kusinyaa.
Alipe fidia kwanza ya wahanga wa Kuvunjiwa majumba Kimara kibamba.
Awalipe fidia wafanyakazi waliofukuzwa kwa vyeti hewa bila ya kupewa mafao yao. Kwani na wao ni watanzania na wanayohaki ya kuajiriwa ,na kama walitimiza wajibu wao ,ni lazima walipwe.
Huenda kilio chao kikageuka Laana kwa Watawala,