lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Ni afadhali zaidi ya mtu kukuuliza unanijua Mimi ni Nani,kuliko enzi za kuja kuchukuliwa nyumbani kwako usiku au hate mchana mbele ya watoto wako na kuoelekwa kusikojuoikana na usirudi tena kuonana na watoto wako.Hebu tusianze kiwaza miaka 10 nyuma.
Jpm hakufanya vizuri lkn JK alikuwa hovyo kabisa, enzi za kuulizwa unanijua mim ni nani?
CCM ni ile ileHabari wadau..!
Uzi teyari karibuni kutoa maoni ya matarajio yako kwa mama wetu mpendwa na jambo gani ungependa aanze nalo kabla ya yote??
Nafurahi kuwa Yule mtanzania wa Chini anatambua nini anatakiwa afanuiwe wakati wa awamu ya nne walikiwa bado usingizini CCM wakileta upuuzi wa kuiba ndo watakapojua maana ya wanyongeKama atajitenga na Jk, na wezi wengine walioiba kipindi chake, na abakie njia kuu tutaifurahia hiyo sauti yake ya kimama, vingevyo ajiandae kuvurugwa mpaka na mama ntilie na wamachinga!
Acha kuota ndoto za kijinga wewe. Chadema ni wastaarabu wakiwa wana deal na watu wastaarabu. Ukiwachafua nao wanachafukwa.Atatukanwa sana na atadhalilishwa sana na chadema.
Lakini sisi women tutampigania mpaka tone la mwisho.
sidhan kama atatukanwa. ila watakao muwinda ni hao hao ndani ya ccm. maana mzee kaondoka watataka wamyumbushe. ndani ya ccm wenyewe kuna makundi. ayamalizeAtatukanwa sana na atadhalilishwa sana na chadema.
Lakini sisi women tutampigania mpaka tone la mwisho.
Kama ata copy na kupaste yote ya mtangulizi wake itakuwa halali yake kutukanwa na kudhalilishwa na wote maana hatakiwi aendeleze machungu ya kuuawa, kujeruhiwa, kupotezwa, kufungwa, kufungwa midomo, kusifia kwa maagizo toka juu na kama ataongoza nchi na Serikali ya Samia Suluhu Hassan. Nchi na Serikali ni ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!Atatukanwa sana na atadhalilishwa sana na chadema.
Lakini sisi women tutampigania mpaka tone la mwisho.
Sioni mabadiliko yoyote makubwa; yule mama pamoja na kuwa na sauti ya upole na kuonyesha kuwa pragmatist kuliko Magufuli, yuko intertwinned sana kwenye vision ya Magufuli kuhusu maendeleo ya miundo mbinu mijini na vijijini. Hatapenda kuonekana kwamba amezorotesha maendeleo ya miundo mbinu iliyoachwa na Magufuli. Elewa kuwa bado na yeye anahitaji kiti hicho tena mwaka 2025!Habari wadau..!
Uzi teyari karibuni kutoa maoni ya matarajio yako kwa mama wetu mpendwa na jambo gani ungependa aanze nalo kabla ya yote??
Wanufaika wa udhalimu utawaina tu. Msiba wa kiongozi gani uliwahi kusikia watu wanakamatwa kwa kushangilia kifo cha marehemu?Hamkutoa ushirikiano kipindi chote cha miaka 5+, kwani tumepungukiwa nini zaidi ya kuhesabu mafanikio yaliyofurika! Mama Samia angalia nyayo za baba basi, na uzibe masikio mpaka tufike ng'ambo!
You are the Iron lady of our time!
Habari wadau..!
Uzi teyari karibuni kutoa maoni ya matarajio yako kwa mama wetu mpendwa na jambo gani ungependa aanze nalo kabla ya yote??
Nategemea sisi wavuvi kata yakalya uvinza tutarejeshewa vyombo vyetu halali tulivyo porwa na mpina kupitia uwaziri wake wauvuvi uonezi mkubwa ulifanyikaHabari wadau..!
Uzi teyari karibuni kutoa maoni ya matarajio yako kwa mama wetu mpendwa na jambo gani ungependa aanze nalo kabla ya yote??
CCM ya Mama Samia hii tutarajie mambo makubwa sana.CCM ni ile ile
Watz wameshajua wanachotegemea kufanyiwa, sasa waache wajichanganye waone, watazikimbia ofisi zao! Kwa kweli Magu amewafungua ufahamu!Nafurahi kuwa Yule mtanzania wa Chini anatambua nini anatakiwa afanuiwe wakati wa awamu ya nne walikiwa bado usingizini CCM wakileta upuuzi wa kuiba ndo watakapojua maana ya wanyonge
Shida ni nini? Madawa ya kulevya? Au vyeti vyeki?, Au kutumbuliwa kwa kutokuwajibika!? Maana ni hawa ndio walalamishi!Wanufaika wa udhalimu utawaina tu. Msiba wa kiongozi gani uliwahi kusikia watu wanakamatwa kwa kushangilia kifo cha marehemu?
Hata akifanya mafyongo fyongo we utaampigania tuuuAtatukanwa sana na atadhalilishwa sana na chadema.
Lakini sisi women tutampigania mpaka tone la mwisho.
Thubutu! Huyu alikuwa makamu wa samweli sita mkuu. Ni mzanzibar mhafidhina muumini wa muungano kwelikweli.Nina imani kubwa na Mama tutapata katiba mpya na Tanzania bora zaidi,Asante Mungu Baba.
Ndio.Hata akifanya mafyongo fyongo we utaampigania tuuu