lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Ni afadhali zaidi ya mtu kukuuliza unanijua Mimi ni Nani,kuliko enzi za kuja kuchukuliwa nyumbani kwako usiku au hate mchana mbele ya watoto wako na kuoelekwa kusikojuoikana na usirudi tena kuonana na watoto wako.Hebu tusianze kiwaza miaka 10 nyuma.
Jpm hakufanya vizuri lkn JK alikuwa hovyo kabisa, enzi za kuulizwa unanijua mim ni nani?
Wasijue Kama uko hai ama umekufa,wasijukama umezikwa au umetupwa,wasiweze hate kuona kaburi lako.
Au unaweza kurudi ukiwa umeumizwa mwili na roho kwa kufanyiwa vitendo vya kidhalilishaji Kama.....