Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Wakati yote hayo yakifanyika ameshindwa kufanya yafuatayo

1.kuacha kuingilia mihimili mingine.mama amekuwa ndiyo remote control kwa mahakama na bunge. Aliitangazia dunia kuwa washukiwa wa ugaidi tayari wamehukumiwa na wanatumikia vifungo kumbe hata mahakamani hawajapelekwa.

2.Ameshindwa kuanzia mchakato was katiba mpya ambapo yeye alikuwa makamu mwenyekiti.

3.Ameshindwa kuwazuia polisi kuwabambikia raia wake kesi zisizo na dhama.

4.Ameshindwa kumuachua mbowe kwenye kesi ya kihuni.
 
Tunamtakia Rais Samia kila lenye heri huku tukiendelea kukatwa tozo.
 
S

Soma vizuri ni 76?
 
Na mimi nlitaka kushangaaa...mwingine ni ex president wa mawali Joyce Banda. Uki google tu jina lake unakutana na picha yake akihutubia UN.
View attachment 1948139
Soma vizuri hilo
Rudia kusoma kilichoandokwa Mkutano wa 76 ndio huu?
 
Hizi kazi zinazotegemea ngekewa badala ya weledi ni shida sana kwa sababu mtu anaukwaa nafasi ambayo kihaki sio kabisa stahiki yake.
 
Mama ziba masikio usiwasikilize hawa wanaotaka kukukwamisha kwa kelele zao za kukulinganisha wewe na Hayati Magufuli wakisema bora Magufuli kuliko hizi zama zako.

Ni hawa hawa ambao enzi za Hayati Magu walikuwa wanalia na kupiga kelele wakisema bora kikwete kuliko Magufuli. Leo kiko wapi?

Tuvumilie Mama maana siku mrithi wako akianza kazi, wanaokukejeli leo ndio hao hao watakaokupamba kwa sifa na utukufu wa kila namna kwa mazuri uliyo yafanya katika utawala wako.

CHAPA KAZI, WAZALENDO TUNAKUUNGA MKONO.
 
Hongera Sana Mama Samia Suluhu Hassan kwa hotuba nzuri uliyo ihutubia katika Mkutao wa Umoja wa Mataifa.
 
Mama wa
Mama wa nchi Mungu akulinde siku zote mama.
 
Kwa kweli ni lazima tuishi kwa kujitegemea kodi ni wajibu wetu hakuna mtu atakayetujengea zahanati na kutujengea barabara haya yote ni majukumu nasalimia kwa jina la Jamuhuri
Kila mtu ana mtazamo wake juu ya hilo, lakin tuiachie serikali yetu ifanye kazi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…