Huna akili ww......Kuna watu huwa mnajiabisha kewa kujifanya wajuaji.
Hivi unaelewa maana ya akiba au utajiri?
Nimeifananisha nchi ya Tz na mtu!!??Umekaa kabisaaa... unatufananisha...unaifananisha Afrika na hao kina Musk?!!
You serious mzee?!!!
wamachinga na bodaboda wakikusikia wanakula kichwa yako!Ukitoa ishu ya mbowe mama Samia mpaka Sasa anafanya vizuri.
Analeta maendeleo bila kunyanyasa watu kufokea watu kutweza utu wa mtu na kutoa vitisho.
Angekuwa bwana yule haya madarasa nchi nzima mbona tungekoma?
Hivi wewe unaishi hii nchi au burundi. Inaamana hujasikia kwasasa kuna vituo vya Afya zaidi ya 400 vinajengwa nchi nzima?Unaongea utasema ana miaka mi 5 kwenye uongozi..
Mtu ana miezi tu, mshaanza kelele, maendeleo!! Maendeleo..
Acheni vitu viongee vyenyewe, kupiga domo pasipo vitendo ni bure...
Nikikuuliza ameleta maendeleo gani ndani ya hii miezi utanijibuje?
Ukitoa ishu ya mbowe mama Samia mpaka Sasa anafanya vizuri.
Analeta maendeleo bila kunyanyasa watu kufokea watu kutweza utu wa mtu na kutoa vitisho.
Angekuwa bwana yule haya madarasa nchi nzima mbona tungekoma?
Mtanzania mwenye orodha ya barabara za udongo kwenda changarawe zenye urefu wa Kms 5,834.95 katika Majimbo 214 tafadhali aweke hapa. Naona watanzania wanapigwa changa la macho kwenye bajeti ya serikali ya 2021/22
Aisee, umeandika haya ukiwa na akili timamu kabisa?Kwa taatifa yako hayo madarasa yameabza kujengwa kipindi kile. Hizo pesa dada zinapigwa kupitia njia hiyo kea sasa
Ndo ukweli..amini usiamini kidogokidogo mzunguko wa pesa umeanza kuonekana. na watu wana furaha mioyoni hawaishi kama wafungwa.
Jana si nikasema nagoja nikanunue bati tatu lahaula kutoka 15k mpk 23k nikiduaa yaan mwezi wa tatu mpk wa kumi tu majanga ...Maendeleo gani mmazungumzia mbona bei za vitu vinazidi kupanda
Nilikuwa na nunua nondo mm12 kwa elf 19 au 20 kipindi cha Hayati Magufuli sasa hivi nondo hii elf 26 miezi mitano ijayo kuna uwezekano kufika elf 30
Mafuta yanazidi kupanda
Haya Maendeleo mnapima kwa vigezo gani? Mafuta ya gari hayashikiki
Nadhani wewe ndio utakua huna akili timamu kupungua usichokijua.Aisee, umeandika haya ukiwa na akili timamu kabisa?
Hao ni wafanyakazi wa sekta za serikali wameanza kupiga hela za Semina na vikao ndo wanasifiaMaendeleo gani mmazungumzia mbona bei za vitu vinazidi kupanda
Nilikuwa na nunua nondo mm12 kwa elf 19 au 20 kipindi cha Hayati Magufuli sasa hivi nondo hii elf 26 miezi mitano ijayo kuna uwezekano kufika elf 30
Mafuta yanazidi kupanda
Haya Maendeleo mnapima kwa vigezo gani? Mafuta ya gari hayashikiki
Mzunguko wa pesa unarudi kisa mmeanza kupata Semina zisizo na kichwa wala miguu,huyo mama yenu anayepandisha vitu Bila kudhibiti kila siku?amini usiamini kidogokidogo mzunguko wa pesa umeanza kuonekana. na watu wana furaha mioyoni hawaishi kama wafungwa.
Unashindwa kumuita chuma baba yako aliekuleta duniani......1.tozo miamala ya simu
2.bei za vifurushi (bando)
3.machinga kufukuzwa
4.bodaboda na bajaji kwenda mjini ( Amos makalla amesogeza siku mbele, ilitakiwa Hadi 01 sept tamko lianze kazi rasmi)
N.B.miradi yote ya maendeleo ni ile iliyoachwa na chuma
Kwenye ukweli tuseme ukweli.
Ndio mzunguko wa fedha huko maofisini ila mtaani hali teteMzunguko wa pesa unarudi kisa mmeanza kupata Semina zisizo na kichwa wala miguu,huyo mama yenu anayepandisha vitu Bila kudhibiti kila siku?
VIFURUSHI vya simu tu vimemshinda sembuse mengine,mna ubinafsi na ujinga sana nyinyi mlokua kwenye viajira uchwara
Wafanyakazi wa serikali ni wabinafsi sana,na hawaridhiki na wakipatacho na ndo kutwa kuchwa Walikua wanashinda humu kumtukana JPM.Ndio mzunguko wa fedha huko maofisini ila mtaani hali tete
Yani mama hakubaliki vibaya mno! Huwa napita kwenye vijiwe vya kahawa na mama ntilie kukusanya maoni! Ni balaa yani ukiongelea watu wanasonyaWafanyakazi wa serikali ni wabinafsi sana,na hawaridhiki na wakipatacho na ndo kutwa kuchwa Walikua wanashinda humu kumtukana JPM.
Waingie mtaani waone jinsi Huyu mama watu walivyomuekea fundo la nyongo rohoni.
Watu wamebanwa kila nyanja na kila kona
Wewe unajua hata ndoo ya mafuta ya kupikia ni kiasi gani imefika?Hivi wewe unaishi hii nchi au burundi. Inaamana hujasikia kwasasa kuna vituo vya Afya zaidi ya 400 vinajengwa nchi nzima? Hujasikia madarasa elfu 15000 yanajengwa nchi nzima? Tuachane na ongoing projects kama SGR Mwalimu Nyerere Hydropower