Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Ukitoa ishu ya mbowe mama Samia mpaka Sasa anafanya vizuri.
Analeta maendeleo bila kunyanyasa watu kufokea watu kutweza utu wa mtu na kutoa vitisho.
Angekuwa bwana yule haya madarasa nchi nzima mbona tungekoma?
wamachinga na bodaboda wakikusikia wanakula kichwa yako!
 
Unaongea utasema ana miaka mi 5 kwenye uongozi..

Mtu ana miezi tu, mshaanza kelele, maendeleo!! Maendeleo..

Acheni vitu viongee vyenyewe, kupiga domo pasipo vitendo ni bure...

Nikikuuliza ameleta maendeleo gani ndani ya hii miezi utanijibuje?
Hivi wewe unaishi hii nchi au burundi. Inaamana hujasikia kwasasa kuna vituo vya Afya zaidi ya 400 vinajengwa nchi nzima?

Hujasikia madarasa elfu 15000 yanajengwa nchi nzima? Tuachane na ongoing projects kama SGR Mwalimu Nyerere Hydropower
 
Ukitoa ishu ya mbowe mama Samia mpaka Sasa anafanya vizuri.
Analeta maendeleo bila kunyanyasa watu kufokea watu kutweza utu wa mtu na kutoa vitisho.
Angekuwa bwana yule haya madarasa nchi nzima mbona tungekoma?
 
Maendeleo gani mmazungumzia mbona bei za vitu vinazidi kupanda
Nilikuwa na nunua nondo mm12 kwa elf 19 au 20 kipindi cha Hayati Magufuli sasa hivi nondo hii elf 26 miezi mitano ijayo kuna uwezekano kufika elf 30
Mafuta yanazidi kupanda
Haya Maendeleo mnapima kwa vigezo gani? Mafuta ya gari hayashikiki
Jana si nikasema nagoja nikanunue bati tatu lahaula kutoka 15k mpk 23k nikiduaa yaan mwezi wa tatu mpk wa kumi tu majanga ...

Dah
 
Hakuna jipya lolote lile hii ni mwendelezo wa kile alicho kianzisha Mwendazake

Toka lini baba mwenye mji akifariki ndio ubora wa mama uonekane

Hii haingii akilini kabsaa hizi ndo unasikiaga sifa za kijinga
 
Maendeleo gani mmazungumzia mbona bei za vitu vinazidi kupanda
Nilikuwa na nunua nondo mm12 kwa elf 19 au 20 kipindi cha Hayati Magufuli sasa hivi nondo hii elf 26 miezi mitano ijayo kuna uwezekano kufika elf 30
Mafuta yanazidi kupanda
Haya Maendeleo mnapima kwa vigezo gani? Mafuta ya gari hayashikiki
Hao ni wafanyakazi wa sekta za serikali wameanza kupiga hela za Semina na vikao ndo wanasifia
 
amini usiamini kidogokidogo mzunguko wa pesa umeanza kuonekana. na watu wana furaha mioyoni hawaishi kama wafungwa.
Mzunguko wa pesa unarudi kisa mmeanza kupata Semina zisizo na kichwa wala miguu,huyo mama yenu anayepandisha vitu Bila kudhibiti kila siku?

VIFURUSHI vya simu tu vimemshinda sembuse mengine,mna ubinafsi na ujinga sana nyinyi mlokua kwenye viajira uchwara
 
1.tozo miamala ya simu
2.bei za vifurushi (bando)
3.machinga kufukuzwa
4.bodaboda na bajaji kwenda mjini ( Amos makalla amesogeza siku mbele, ilitakiwa Hadi 01 sept tamko lianze kazi rasmi)

N.B.miradi yote ya maendeleo ni ile iliyoachwa na chuma
Kwenye ukweli tuseme ukweli.
Unashindwa kumuita chuma baba yako aliekuleta duniani......
 
Mzunguko wa pesa unarudi kisa mmeanza kupata Semina zisizo na kichwa wala miguu,huyo mama yenu anayepandisha vitu Bila kudhibiti kila siku?
VIFURUSHI vya simu tu vimemshinda sembuse mengine,mna ubinafsi na ujinga sana nyinyi mlokua kwenye viajira uchwara
Ndio mzunguko wa fedha huko maofisini ila mtaani hali tete
 
Ndio mzunguko wa fedha huko maofisini ila mtaani hali tete
Wafanyakazi wa serikali ni wabinafsi sana,na hawaridhiki na wakipatacho na ndo kutwa kuchwa Walikua wanashinda humu kumtukana JPM.

Waingie mtaani waone jinsi Huyu mama watu walivyomuekea fundo la nyongo rohoni.

Watu wamebanwa kila nyanja na kila kona
 
Yani mama hakubaliki vibaya mno! Huwa napita kwenye vijiwe vya kahawa na mama ntilie kukusanya maoni! Ni balaa yani ukiongelea watu wanasonya
 
Hivi wewe unaishi hii nchi au burundi. Inaamana hujasikia kwasasa kuna vituo vya Afya zaidi ya 400 vinajengwa nchi nzima? Hujasikia madarasa elfu 15000 yanajengwa nchi nzima? Tuachane na ongoing projects kama SGR Mwalimu Nyerere Hydropower
Wewe unajua hata ndoo ya mafuta ya kupikia ni kiasi gani imefika?

Unajua bei ya bati imefika kiasi gani?

Unajua bei ya nondo imefika kiasi gani?

Au unaongea tu kwa ushabiki..

Madarasa 15000 kusomesha wataalamu wanaosema terrorism ni utalii🤣🤣

Mzee Ni bora quality kuliko quantity, story za madarasa na zahani zimekuwa ni sound almost miaka 20 sasa...
Hakuna kipya hapo..

Hizo nazo utasema ni project kubwa?

Japan walijenga reli za usumaku mpaka uchumi ukayumba, we unakuja kunambia hayo mapagara ambayo hata watoto wao hawapelekwi kusoma?
🤣🤣🤣

Maisha yanazidi kuwa magumu hulioni hili, au wewe ndio unaishi Burundi 🤣

Tunataka kusikia tunapata umeme wa uhakika, maisha yanashuka gharama, miundo mbinu inaboreshwa, machinga wanajengewa masoko ya kisasa kufanyia kazi zao, elimu inaboreshwa na sio kuongeza tu madarasa..n.k..

Endeleeni kudanganyiwa na hayo magofu..
 
Back
Top Bottom