Sasa hilo lina kusaidia nini lina uhusiano gani na uchumi wa taifa au utendaji wa mama, iwe awamu ya sita ya kumi au kumi na tano, name it.....sisi tunachohitaji ni unafuu wa maisha vitu vishuke bei, sio majina au number za awamuMaisha yanakwenda kasi na udongo ni wetu, ndio maana makaburi hata siku moja hayawezi kujaa ila nyumba zitajaa.
Swala ambalo la kujiita awamu ya sita ni kama kujitoa kwenye kachumbari ambayo bado upo kwenye awamu ya tano.
Tumesikia kwenye vikao vyenu CCM hapo dodoma ukionesha kuwa kama ukiwepo na yale yote yaliyokuwa awamu ya tano.
Kumbuka awamu yako ya sita ni 2025 mpaka uchaguliwe na wananchi. Kwa sasa endeleza uliyoachiwa si kuleta mengine.
Peke yako mkuu. Mimi simo.2025 Twende na Camilius tu
Ongeza sauti mkuuMaisha yanakwenda kasi na udongo ni wetu, ndio maana makaburi hata siku moja hayawezi kujaa ila nyumba zitajaa.
Swala ambalo la kujiita awamu ya sita ni kama kujitoa kwenye kachumbari ambayo bado upo kwenye awamu ya tano.
Tumesikia kwenye vikao vyenu CCM hapo dodoma ukionesha kuwa kama ukiwepo na yale yote yaliyokuwa awamu ya tano.
Kumbuka awamu yako ya sita ni 2025 mpaka uchaguliwe na wananchi. Kwa sasa endeleza uliyoachiwa si kuleta mengine.
Huu ni utoto tu unawasumbua na kwa hili ninyi ni wajinga. Hii ni awamu ya sita according to the president of the united republic of Tanzania, her excellency SSH. Subirini tu 2030Walivyokuwa na chuki na mwendazake..wakaamua kujificha kwenye kichaka cha awamu ya sita..ila waanze kupondea na kumkandia..bila kujua wote ni zao la JPM..kuanzia sa100 hadi wenyeviti wa mitaa.
Acheni hizo hii ni awamu ya 5 muhula wa pili..sa100 namalizia ungwe yako kikatiba awamu yako itaanza siku uchaguzi mkuu ukifanyika..endapo ukapata nafasi hapo ndio awamu yasita itaanza kamili.
Sisi sio wajinga.
#MaendeleoHayanaChama
Wanataka iwe ya 5 halafu apewe tena miaka 10 ya awamu ya 6.Huu ni utoto tu unawasumbua na kwa hili ninyi ni wajinga. Hii ni awamu ya sita according to the president of the united republic of Tanzania, her excellency SSH. Subirini tu 2030
Ni 2025 sio 2030! Au 2025 hakuna uchaguzi?2030 sio mbali. Subiri ataondoka tu ikifika
Mmeanza asee...2025 Twende na Camilius tu
😂😂😂😂😂Ni 2025 sio 2030! Au 2025 hakuna uchaguzi?
Au unadhani karudi kwa bahati mbaya!? Unadhani Katiba ya Chama imefanyiwa marekebisho kwa Bahati mbaya!? Unadhani mzee Philip kaondoka bahati mbaya? Unadhani Komarade kagombea kwa bahati mbaya.Mmeanza asee...
Siwezi hata kuita hivi maana anachora namba zake za tofauti sana!
HahahahahaaaaaaaaaaaaOngeza sauti mkuuView attachment 2173727
Walivyokuwa na chuki na mwendazake..wakaamua kujificha kwenye kichaka cha awamu ya sita..ila waanze kupondea na kumkandia..bila kujua wote ni zao la JPM..kuanzia sa100 hadi wenyeviti wa mitaa.
Acheni hizo hii ni awamu ya 5 muhula wa pili..sa100 namalizia ungwe yako kikatiba awamu yako itaanza siku uchaguzi mkuu ukifanyika..endapo ukapata nafasi hapo ndio awamu yasita itaanza kamili.
Sisi sio wajinga.
#MaendeleoHayanaChama
awamu ya tano RAHIS wa 6 na ukumbuke ni muhula wa pili unaisha 2025Hivi kipi Bora kusema awamu ya 5 au ya 6?
Ikiwa tutasema awamu hii ni ya 6 si inamaanisha raisi atatakiwa kukaa madarakani awamu moja run inayofuata kama atashiriki na kushinda uchaguzi?
Lkn tukisema ni awamu ya Tano si itakua kama anamalizia muhula wa jpm kwa hiyo 2030 aanze kipindi Cha uongozi Cha miaka 10? Cha awamu ya sita na Saba?
Sijaelewa wanaopinga wanamtaka nini!
Asante sana endelea kuwaelimisha, binasfsi naunga mkono hoja mara elfu[emoji120][emoji120][emoji106][emoji106]Maisha yanakwenda kasi na udongo ni wetu, ndio maana makaburi hata siku moja hayawezi kujaa ila nyumba zitajaa.