Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mkuu Robert Heriel umebima? Nakushauri ubadili kichwa cha uzi wako kwakuwa kinaleta ladha isiyopendeza. Ungesema tu : 'Kuongozwa na mshamba' badala ya 'Nchi kuongozwa na mshamba'. Mengine yako vyema na yanatafakarisha.
Kwani kuna kiongozi katajwa? Au unahisi kiongozi fulani anaendana na hizo sifa?
 
Wasifu huu unamlingana yule mwovu aliyeko motoni sasa hivi

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…