Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Nianze moja kwa moja kwa pongezi kwa kazi ngumu na kubwa kwaajili ya Taifa letu la Tanzania hususani katika harakati za Kukuza na kuinua Uchumi wa Nchi yetu .

Kwa kipindi cha siku kadhaa zilizopita tumeona kikao na barozi Wa Marekani ambacho kilikua na faida kubwa sana kwa nchi yetu Kwa nchi ya Marekani kuendelea kushirikiana na nchi yetu katika mambo mbali mbali

Lakini pia Ujio wa Wafanya tathmini ya uwezo wa nchi yetu kama tunaweza kukopesheka au laa ! Kwa picha hiyo tunaona kuna nafasi ama sifa Bado ya kukopesheka ina maana kwamba deni la Taifa ni la kawaida .Na mambo yote yamekua wazi

Makubwa zaidi ni Ziara yako nchini Uingereza ambapo umekutana na wadau mbalimbali wa Kuweza kufanya ushirikiano wa masuala ya kimaendeleo, ikiwemo uboreshaji wa Uwanja wa ndege Zanzibar na barabara

Zaidi ni kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na Taifa la Uingereza ambapo kuanzia sasa tunaamini kupata wawekezaji wengi sana katika nchi yetu jambo litakalo pelekea ajira kwa Watanzania wengi .

Lakini hilo pia linaenda sambamba na ukamlishaji wa miradi ya maendeleo hapa nchini , uboreshaji wa Huduma za kiafya , elimu Pamoja na kilimo ambacho ndio ajenda moto kwa sasa hapa nchini .

Hukosei unajua kucheza na fursa Kwa UZITO WA KIPEKEE NI MPONGEZE MH RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN OUR PRESIDENT KWA MAONO YAKE JUU YA TEUZI ZAKE NA USIMAMIZI WAKE WA NCHI YETU KWA MIAKA HII MIWILI HAKIKA ANA TIMU MAKINI SANA KAMA NI KOCHA SIJAJUA NI WA TIMU GANI . MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU MBARIKI RAIS WETU , MUNGU MBARIKI MWIGULU NCHEMBA .
 
Natamani kusema lakini.. Acha ninyamaze tu time muda utasema
 
Pamoja na Pongezi nyingi Kwa MH. Raisi Wetu Kwa namna anavyo ongoza NCHI hii Nina Jambo ambalo ninashauri alipe umuhimu wa pekee.

Sehemu za mipakana hasa Tunduma Raia wa NCHI jirani hasa wa Congo wameiteka NCHI Kwa kuuziwa maeneo ya Ardhi na mbinu wanazotumia ni kuwarubuni BAADHI ya viongozi wasio waadilifu na wakati mwingine wanatumia majina ya bandia au ya watu wengine.
Pamoja na taarifa nyingi kupelekwa kwenye vyombo husika lakini Pesa zinaharibu kila kitu mwisho wa siku natabiri mgogoro mkubwa kuibuka hata kama SERIKALI itafumbia macho Kwa SASA.

Pili Raia hawa wanaoishi Nchini bila Kuwa na vibali nje na kuikosesha SERIKALI Mapato lakini wamekuwa mitaji Kwa baadhi ya viongozi wasio waadilifu pamoja na baadhi ya watumishi wa SERIKALI na Mahakama wasio waadilifu.

Ninashauri SHERIA za nchi zitumike kwasababu zilitungwa ili kulinda raslimali za nchi na utu wa Mtanzania.
 
Raisi Samia yapasa kuwahoji waliouza shule ya wazazi ya Hedaru na kudhulumu wafanyakazi stahili zao.
Mwaka 2016 Abdalah Bulembo Sefu Khamis Mohamed na John Singo waliouza shule ya Jumuiya ya wazazi ya Hedaru na bila aibu Wala utu wakawadhulumu wafanyakazi haki zao. Kila wafanyakazi hao maskini walikoenda kujaribu Kutoka malalamiko Yao wameambulia patupu. CCM imekaa kimya kuhusu dhuluma hiyo . Mheshimiwa Raisi wewe ndiye mwenye utu hebu ingilia jambo hili watu Hawa wapate haki zao
Wafakazi hao Bado wanaendelea kuteseka na WALIOWADHULUMU wakitamba na kusema mnajisumbua hamtaambulia kitu na hakuna wakutufanya lolote kama mama Samia haki ni kwa wote mbona haki ya wafanyakazi Hawa wapewi au tufunge safari kuja kukuona maana yake imezidi sasa
 
Leo umeonyesha kuchukizwa na watendaji wako,lakini bila hatua madhubuti za kuchukua utaishia kulalama na kuvuna mabua tu.

Watanzania ukiwabembeleza ndio umeharibu kabisaa.

Ngoja tuone mwisho wa hii segere
 
Huu ndio ule ujinga tulikua tunajadili Jana naye huyu kaja kuufanya hapa JF
 
Ndugu zangu watanzania wezangu nawaombeni tusikilize Ujumbe huu wa sauti kisha kila mmoja wetu aujue mpango wa Mungu juu ya Taifa letu na kiongonzi wetu Mkuu wa nchi.
 

Attachments

5G ni nini?
5G ni kizazi cha tano katika teknolojia ya mitandao ya simu za mikononi yenye kasi mara ishirini zaidi ya 4G.

Faida za kutumia 5G
  • Internet ya 5G ni nzuri na ina kasi mara ishirini zaidi ya 4G
  • Ukitumia 5G intaneti haikatikati na ina ubora zaidi.
  • 5G ina uwezo wa kuunganisha vifaa vya simu vingi zaidi kupitia hotspot. Unaweza kuunganisha mpaka vifaa 200 kwa wakati mmoja
Tofauti gani ya spidi kati ya 3G, 4G na 5G?
  • 3G Spidi Kupakia Mbps 2.7 na kupakua Mbps 5 – Mbps 8.
  • 4G Spidi Kupakia mpaka Mbps 17 na kupakua ni kuanzia Mbps 25Mbps, inaweza kufika Mbps 100+
  • 5G Spidi Kupakia mpaka Mbps 40 na kupakua kuanzia Mbps 200 mpaka Mbps 400+

Jinsi ya Kujiunga na 5G nyumbani au Ofisini
  • Hakiki kama eneo lako lina 5G (tupigie 0745015421)
  • Mhudumu atakujazia taarifa zako kupitia https://vodacom.co.tz/fwa/
  • Utapokea On Time Password kutoka Vodacom utampa Mhudumu kukamilisha Oda yako
  • Utaingia kwenye account yako kubadili nywira kupitia https://vodacom.co.tz/fwa/
  • Kutokana na Speed uliyochagua nenda sehemu ya kulipia plan (Top up) hapo utaelekezwa namna ya kulipa kwenda kwenye account ya 5G na namba ya kumbukumbu ni namba ya akaunti yako , lipa kupitia mtandao wowote wa simu kadiri ya maelekezo
Chagua plan hapa

  • Mhudumu atakusajili simcard ambayo itatumika kwenye Router ya 5G, lain hiyo haitakuwa na uwezo wa kupata huduma nyingine kama kupiga na mpesa. Kama unasimcard tayari basi hakikisha kuwa ni ambayo hutaitumia tena kwa matumizi ya kawaida
  • Mhudumu atakupa lipa namba ya kulipia Router au utamlipa Cash 850,000 kwa Nokia
Router ya Nokia

  • Utaingia kwenye account yako kuanzisha huduma kwa kuweka namba ya simu baada ya kuchagua kifaa husika unachokiunganisha na kutuma taarifa (submit) hapo kiasi kilichokuwepo kwenye account kitaondoka na plan itaanza.
  • Utaanza kufurahi huduma baada ya mda mfupi
Kwanini Ununue Nokia Router
  • Ina uwezo mkubwa wa kuunganisha vifaa vingi kwa mara moja (Vifaa 200)
  • Ina App nzuri ambayo inasaidia kucontrol kila kifaa kinachounganishwa (Unakipa jina, Unachagua mda wa kupata internet na unablock website ambazo hazitakiwi kuingia)

Mawasiliano

Simu/WhatsApp:
0745015421
 
Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.

Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na
Viongozi wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG ni members wa CCM. Itakuwa ni kosa kubwa sana la kisiasa kuwawajibisha.

RAIS Samia tunakuomba uwaache kwakuwa wengi wamewekeza hizo fedha kwenye majumba, wamenunua appartments za NNS, KAWE BEACH, wamejenga mahekalu na wengine kuanzisha makampuni ambayo yametoa ajira kwa watanzania.

Watu hao hao ndio watatusaidia uchaguzi 2025, mh Rais HAWA WALIOPIGA MABILIONI ya WANYONGE WAACHWE TU.
 
Habari zenu wana JF wenzangu.

Hii habari sio ya Tanzania, bali ni ya huko kwa wenzetu wanaojielewa na kujitambua vizuri kiakili.
Kuna msemo unasema kwamba kizuri kinajiuza na kibaya kinajitembeza. Raisi wetu ameanza kupendwa na kumwagiwa sifa na watu ambao hata hawafahamu, hii ni tofauti na wale wanaotumia nguvu kubwa na mapesa mengi kujitangaza bila mafanikio.

Hongera raisi wetu kwa kuendelea kuchukua hatua kali ili kulinda fedha za umma.
 

Attachments

  • Screenshot_20230413-231725.jpg
    56.8 KB · Views: 22
  • Screenshot_20230413-231728.jpg
    61.4 KB · Views: 11
  • Screenshot_20230413-231808.jpg
    54.9 KB · Views: 13
  • Screenshot_20230413-231843.jpg
    53.9 KB · Views: 16
  • Screenshot_20230413-231958.jpg
    45.5 KB · Views: 18
Nimefurahi kwa Uzi huu, lkn utakuwa na tija kama Rais au Idara watakuwa wanapitia hapa na kutoa utatuzi wa kero Mbalimbali zikiwemo kero za kuonea wanyonge zinazofanywa na baadhi ya wasaidizi wa karibu na Rais! lengo la Rais ni jema kwa wasaidizi wake lkn wakishaapa wanakengeuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…