Swali langu ni kwamba je, inawezekana kuunganisha simu yangu yenye uwezo wa 4G na router ya 5G?Kwa sasa ni mpaka utumie router za 5G router za kawaida hazina uwezo. Router ndogo 650,000 user 32 na kubwa 850,000 user 256 karibu tupigie 0745015421
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali langu ni kwamba je, inawezekana kuunganisha simu yangu yenye uwezo wa 4G na router ya 5G?Kwa sasa ni mpaka utumie router za 5G router za kawaida hazina uwezo. Router ndogo 650,000 user 32 na kubwa 850,000 user 256 karibu tupigie 0745015421
Kwa sasa ni mpaka utumie router za 5G router za kawaida hazina uwezo. Router ndogo 650,000 user 32 na kubwa 850,000 user 256 karibu tupigie 074501Habari mkuu, nawezaje tumia hiyo 5G km vifaa vyangu havisuport hiyo 5G au ndo itabidi ninunue vipya ili nimtumie hiyo huduma?
Vodacom kuna huduma mbili Moja ni Postpaid ambayo mteja anakuwa na biashara na hivyo anasaiin mkataba wa miaka miwili kutumia huduma. katika huduma hizo kuna kasi internet ambayo ni gbs za kupimiwa na 5g ambayo ni unlimited. lkn kwa sasa vodacom wamezindua pia Prepaid ambapo mteja ananunua kifaa na huduma na analipa kabla then anatumia. hakuna mkataba wala tin number unapokuwa na huduma ya pree paid. unalipia tu kifaa na huduma unaendelea kuenjoy.Hii 5G internet ni tofauti na ile SupaKasi??
Yenyewe haihitaji kuwa na TIN number??
Ndio unaweza,Swali langu ni kwamba je, inawezekana kuunganisha simu yangu yenye uwezo wa 4G na router ya 5G?
Hapana mkuu sio mikoa yote, angalia kwenye website yao.Vodacom walitangaza mikoa yote ina 5G lakini,------
Ndio unaweza. 5G Router ina band mbili 2.4 ambayo ni masafa ya 4G na 5.0 ambayo ni masafa ya 5G. Kwa simu ambazo ni 4G itapata WiFi 4 ambayo inatokana na 2.4band na ukiwa na simu ya 5G basi utaona WiFi 6 ambayo ni ya 5.0 na hapo ukipima speed basi utaona speed halisi kwa aina ya speed uliyonunua.Swali langu ni kwamba je, inawezekana kuunganisha simu yangu yenye uwezo wa 4G na router ya 5G?
Yaani hili ndo lilikuwa linanitatiza sana mkuu, kwa hiyo kumbe nikishanunua hiyo router yao (voda) na kulipia internet naweza kutumia kwa vifaa vyovyote hata kama having uwezo wa 5G.Ndio unaweza,
Kutoka mnara hadi router ndio tech ya 5G inatumika.
Kutoka Router hadi vifaa vyako unatumia Wifi
Ni unlimited ila unapimiwa kwa speed hio 120,000 hupati speed yote unapata tu 30mbps.Yaani hili ndo lilikuwa linanitatiza sana mkuu, kwa hiyo kumbe nikishanunua hiyo router yao (voda) na kulipia internet naweza kutumia kwa vifaa vyovyote hata kama having uwezo wa 5G.
Hivi ni kweli ni unlimited au kuna kiasi ukifika internet inakata?
Ukinunua Kasi Internet sio unlimited ila ukinunua 5G plan zote ni unlimited yaani unlimited halisi. Kutest uhalisia tupigie 0745015421. Cha msingi hapo uwe tu jirani na mnara wa 5G ndani ya 1Km.Yaani hili ndo lilikuwa linanitatiza sana mkuu, kwa hiyo kumbe nikishanunua hiyo router yao (voda) na kulipia internet naweza kutumia kwa vifaa vyovyote hata kama having uwezo wa 5G.
Hivi ni kweli ni unlimited au kuna kiasi ukifika internet inakata?
Sio lazima simu iwe na wifi 6 kupata 5ghz band, simu mpaka za bei rahisi zina 5ghz na sio lazima pia simu yako iwe na 5G kuwa na 5ghz band. Mfano Redmi 10C ina 5ghz band na ni simu ya 4G.Ndio unaweza. 5G Router ina band mbili 2.4 ambayo ni masafa ya 4G na 5.0 ambayo ni masafa ya 5G. Kwa simu ambazo ni 4G itapata WiFi 4 ambayo inatokana na 2.4band na ukiwa na simu ya 5G basi utaona WiFi 6 ambayo ni ya 5.0 na hapo ukipima speed basi utaona speed halisi kwa aina ya speed uliyonunua.
Samahani mkuu kwa maswali mengi.. hizo router ni nzuri kwa mazingira gani yaani zinafanya kazi vizuri ukiwa ndani ya jengo au hata kwa mazingira ya nje. Na je, software gani nzuri kucontrol matumizi ya data na unauthorized access?Ni unlimited ila unapimiwa kwa speed hio 120,000 hupati speed yote unapata tu 30mbps.
Ukitaka full speed unalipia laki 6 kwa 350mbps.
Mkuu Hio Nokia Fastmile ipo highly rated, na sababu hii ni 5G choice ya Router itakua limited.Samahani mkuu kwa maswali mengi.. hizo router ni nzuri kwa mazingira gani yaani zinafanya kazi vizuri ukiwa ndani ya jengo au hata kwa mazingira ya nje. Na je, software gani nzuri kucontrol matumizi ya data na unauthorized access?
Asante mkuu, wewe ni mtu wa msaada sana. Mungu akubariki.Mkuu Hio Nokia Fastmile ipo highly rated, na sababu hii ni 5G choice ya Router itakua limited.
Kwa router za kawaida kama za fiber zipo nyingi nyengine zina hadi open source software ambazo unaweza weka program zozote unazotaka kuongeza uwezo wa Router.
Na kama una Jengo kubwa inabidi ufanye mesh, unaweka router kadhaa sehemu mbalimbali.
Shukrani sana kwa maelezo mazuriKwa sasa ni mpaka utumie router za 5G router za kawaida hazina uwezo. Router ndogo 650,000 user 32 na kubwa 850,000 user 256 karibu tupigie 074501
Vodacom kuna huduma mbili Moja ni Postpaid ambayo mteja anakuwa na biashara na hivyo anasaiin mkataba wa miaka miwili kutumia huduma. katika huduma hizo kuna kasi internet ambayo ni gbs za kupimiwa na 5g ambayo ni unlimited. lkn kwa sasa vodacom wamezindua pia Prepaid ambapo mteja ananunua kifaa na huduma na analipa kabla then anatumia. hakuna mkataba wala tin number unapokuwa na huduma ya pree paid. unalipia tu kifaa na huduma unaendelea kuenjoy.
SPEAK FOR YOURSELF PEASANT!Kwa niaba ya Walimu wote Tanzania,......
Mnaweza nipa line pekee bila kununua hiyo routerUkinunua Kasi Internet sio unlimited ila ukinunua 5G plan zote ni unlimited yaani unlimited halisi. Kutest uhalisia tupigie 0745015421. Cha msingi hapo uwe tu jirani na mnara wa 5G ndani ya 1Km.
🤣🤣🤣🤣 chumvi, pilipili na chapati ninazo sijui atafanya sh ngap🤔Kuna mteja hapa anataka supu bila nyama.