Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Hao hawakawii kuweka vya tangu uhuru usiwaamini sana.

Ukitaka kujua fanya sample ya maeneo machache tu kama utnaona vipya.
 
Kumbe ni kazi nzuri Sasa mpaka hapo Kuna ubaya gani kama mkopo umefanya kazi nzuri kiasi hiki?
Kwenye post yako umeanza na neno "kama takwimu hizi ni sahihi",pia nina mashaka na uhalali wa hiyo source maana imekaa ki "chawa".vp kama hizo takwimu sio sahihi!!!!
 
Kwenye post yako umeanza na neno "kama takwimu hizi ni sahihi",pia nina mashaka na uhalali wa hiyo source maana imekaa ki "chawa".vp kama hizo takwimu sio sahihi!!!!
Hiyo Source iko verified na maalumu Kwa taarifa za Serikali.

Hata Wizara ya Afya ilitoa hizo takwimu wakati wa Bajeti
 
Kumbe ni kazi nzuri Sasa mpaka hapo Kuna ubaya gani kama mkopo umefanya kazi nzuri kiasi hiki?
Yaani unakopa kutoa huduma?? We ni Mpwayungu Village kabisa!! Kakopa Bayport kaenda kujenga nyumba imeshia kuwa pagare!! Sasa hivi anaichukia kazi yake ya ualimu.

Kopa wekeza kwenye uzalishaji. $@$^**₹₹/×@ Jf hawaruhusu lakini umelipata mbwa wewe
 
Hiyo inatuhusu nini sisi ikiwa aridhi yetu na Bandari zetu, urithi wa urithi wa watoto wetu zinatwaliwa kwa mkataba wa maisha yote na DPW?
 
Kwa mwaka mmja Serikali ya Mama Imejenga Vituo vya Afya zaidi ya elfu 3 maana mwaka ujao watajenga Vituo 55 tuu na Nguvu kubwa wamepeleka Kwenye Ajira,vifaa tiba na dawa.

My Take
Huyu Rais apewe maua yake.

Huo wizi anaoshirikiana na DPWorld kutuibia na kuwafurahisha wajomba zake ndio anazojengea nchi au ni hizi kodi zetu ndogo ndogo.
 
Back
Top Bottom