passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Nashauri deep state imtoe huyu mama ituletee rais mwingine kwa sababu mkimuacha sana atauza mpaka watanzania Wote.
Kwendraaaaaaaaaaaaaa kalinde kaburiMagufuli yupo mmoja tu na hutokea baada ya miaka elfu moja kama lioneli messi,RIP my best leader never seen
Acha Upuuzi kwa mambo ya msingiKwendraaaaaaaaaaaaaa kalinde kaburi
Mwenyezi mungu akubariki kwa andiko maridhawa
Mpaka miaka 10000 hakuna JPM mwingineMagufuli yupo mmoja tu na hutokea baada ya miaka elfu moja kama lioneli messi,RIP my best leader never seen
Siyo aoendeke huyu supreme leader wa chademaNashauri deep state imtoe huyu mama ituletee rais mwingine kwa sababu mkimuacha sana atauza mpaka watanzania Wote.