Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Hata mimi namshukuru jua limechomoza maana usiku ilikuwa mrefu sana na mbu wanapiga miruzi
 
Huyo Dr wako kafanya jitihada gani za wewe kuamka salama?
 
Nami namshukuru Raisi samia kwa kuleta maporomoko katesh. Nampongeza sana ama kweli
anaupiga mwingi
 
Kuna lijinga na lipumbavu limoja likimsifia mwishoni linachomeka namba ya simu linaitwa Mbwa wa Shambani sijuwi Mwasambwanda ...ila wengi JF wenye akili wameli ignore likileta mavi yake hapa jukwaani.
 
Chanzo cha ujinga , ushamba na unafiki huu ni wasomi wasiojiamini wasio na ubunifu, maarifa na uwezo wa kutengeneza ukwasi/utajiri au fedha za kuwawezesha kuishi na kuhudumia mahitaji yao ( handle bills) pasipo kutegemea handouts ( mishahara, posho, rushwa n.k)!

Ndo maana msomi wa aina hiyo akipata ajira au uteuzi anamwabudu mteuzi au Mwajiri kama Mungu wake!

Mfano ni Profesa Palamagamba Kabudi aliyesema alitolewa jalalani, na kufikia kumuita Hayati Rais Magufuli kwamba Mheshimiwa Mungu!!!!!
Aggrey Mwanri alifikia hatua ya kumwomba Mungu amshukuru Rais Magufuli!
Aliyewahi kuwa Mkoa wa Morogoro Dr.Rajab Rutenge alipopigwa chini aliungama , nimekosa Mimi,nimekosa Mimi, nimekosa sana!

Hatushangai leo kuona viongozi wakubwa leo hata kutoa pole kwa wananchi waliopata majanga hawawezi mpaka waungane na Mheshimiwa Rais!

Wanasiasa na hasa wasomi wengi bila teuzi ,mishahara, posho na rushwa akili zao ni sawa na Kuku wa kufugwa wa kisasa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…