Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Ngoja ije ile KENGE LUCAS MWASHAMBWA,ipo siku itaanzisha Uzi humu JF kwamba inamshukuru Spika wa Bunge na Rais kwa kuliwezesha KUNYA vizuri[emoji28]
 
Focus on what matters only mkuu ukiruhusu kila kitu kiingie kichwani tena kwenye nchi kama Tanzania unaweza usiwe na afya nzuri ya akili..
Good morning!
 
Hahahaha
Unajua zuzu hupenda kusifiwa hata pasipo na sifa
 
Hao wasifiaji ni chawa wake, na ni lazima wasifie kinafiki hata kama wanajua ni uongo Ili kulinda matumbo yao. Chezea njaa wewe!
 
Yesu Kristo ambae ni kaka yetu tunaomwamini alisema hivi ufalme wake sio wa dunia hii

mungu wapo wengi tu hata sisi ni mungu. Kwahiyo hujui ni mungu gani wanamuita
 
Na mimi namshukuru mh rais SSH jana nilifanya mazoezi ya kukimbia meter mia tanoπŸ˜ƒ
 
Namshukuru pia mhe.. Sir mia bodaboda wenye degree wanazidi kuongezeka.
 
Usiposhukuru kwa kidogo basi huwezi kupata kikubwa. Na hii ni moja ya nguzo za kufanikiwa. Be greatful for what you have.

Binafsi kiukweli ninaipongeza Serikali kwa kuilinda nchi yetu na sasa nimefika kazini salama bila bugudha njiani.

Shukurani za kipekee sana zimwendee rais wetu kwa kuiongoza nchi kwa amani na utulivu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
πŸ’ͺivo yaan
 
Namhukuru Rais kwa kuniwezesha kusoma bandiko lako
Hofu, ipo siku mtu atamshukuru Rais kwavile '' mwandani wake'' alimtunuku kabla ya alfajiri
 
Hata mie namshukuru mh. rais leo kumekucha salama na ninaelekea kwenye mihangaiko yangu kubangaiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…