binafsi siwezi danganya wanyonge, kwanza sio ustaarabu na hakuna haja kumdanganya...Acha uongo wewe jamaa!Dunia ya leo yenye utandawazi ndiyo unaandika ujingaujinga hivyo?Unataka kumdanganya nani?
Ni wapi huko? Hujapataja.ukizungumza habari tofauti na CCM na kiongozi wake mkuu comrade Dr Samia Suluhu Hassan, wanainchi wa maeneo hayo kwanza...
Mahaba waliyonayo dhidi ya Chama na Serikali sikivu ya CCM, hayapimiki, ni ya kufa na kuzikana 🐒
Ujinga lazima ubezwe, umeshindwa kuthibitisha sehemu.haina haja kubeza uelewa na ufahamu wa wengine dhidi ya wa kwako, kuhusu jambo au masuala fulani fulani katika jamii 🐒
Mpaka hapa inaonekana hujui unachokiongea.binafsi siwezi danganya wanyonge, kwanza sio ustaarabu na hakuna haja kumdanganya...
ni bahati mbaya tu wabishi kwenye hili, miongoni mwao wamegoma katukatu kurejea vijijini makwao hata baada ya kumaliza masomo, licha ya kwamba hawaajiriki tena kwasabb ya kigezo cha umri.....
just a friend, companion or ally 🐒Nini maana ya Comrade!?
Mchoraji wa katuni hii kakosea kidogo. Ubongo wa wabongo haupo makalioni, upo sehemu za siri.
Mfano halisi hapa Arusha (chugastani) nenda samunge,soko kuu au kirombero waambie ccm na Gambo hawafai hao kina mama watakuponda na nyanyaukizungumza habari tofauti na CCM na kiongozi wake mkuu comrade Dr Samia Suluhu Hassan, wanainchi wa maeneo hayo kwanza...
yaani wew ungekua kwenye mkutano wa hadhara maeneo ambayo nimeyasema kwenye hoja yangu ya msingi wangeshasambaa kitambo sana wakuache mkutanoni pekeyako, yaani unajiandaa kupotosha umma 🐒Mpaka hapa inaonekana hujui unachokiongea.
nimekuelekeza pakuthibitisha hoja yangu kwa takwimu, unashupaza shingo, shauli yako, unadhani tunakuja kuongea ongea tu humu 🐒Ujinga lazima ubezwe, umeshindwa kuthibitisha sehemu.