Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kwa sasa nadhani pia jicho liendelee kuwepo kwenye hiyo miamala ya fedha za kugharamia mazishi.Naona kama kunaweza kutumbukizwa na miala ya watu binafsi humo humo. Sababu wajanja wanatumiaga mianya hii ya taharuki kupiga fedha za kutosha.

Bashiru ni Mgeni hapo Ikulu wa maswala ya miamala,alipokea ofisi ya Marehemu,hakupata makabidhiano.Mama naye amepokea ofisi bila makabidhiano,hivyo yuko busy kusoma nyaraka mbalimbali ili apate pa kuanzia. Mtu pekee wa kuwasaidia ni Doto,ambaye yeye kwa sasa anawaza zaidi future na pia mood iko chini sababu amempoteza siyo tu bosi bali mwanafamilia wa karibu

Kwa hiyo vibaka huwa wanapenda mazingira ya watu waliochanganyikiwa,sababu hawi makini na inakuwa rahisi sana kumpiga roba na kumpora
 
Hongera Sana mkuu
 
# Iron Lady
 
Kwa muda sasa, udhibiti wa mada hapa JF umekuwa ukiongezaka kupita kiasi na kuondoa kabisa maana ya slogan inayotumiwa na huu mtandao( inafahamika kwa member humu)...
kwa hiyo ulitaka tutawaliwe na wazanzibar
 
Naona watu wameanza kujisahau...hii nchi sio shamba la bibi tena.

Naomba sana TISS wa mitandaoni mfikishe hili wazo kwa mama... tukimaliza msiba tu...aanze ukaguzi wa vyeti vya kitaaluma hasahasa kwa kada ya uhasibu, sheria, afya na hata ualimu...in short aguse kada zote ili tutoe pumba zote zilizobakia...kwenye hili asicheze na nyani.
 

 
Yaani kila Rais ajaye aanze kuangalia vyetu feki!! Kuna matatizo mengi hapa nchini kuliko hivyo vyeti vyeti.

Tujaribu kuwa serious hata kama tuna uhuru wa kutoa mawazo.
Elimu ndio msingi wa uchumi imara...hivi unajua gharama zinazotumika kutoa elimu nchini?

Tukirekebisha kwenye elimu, uchumi utajiseti wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…