Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kwingine kote uhakiki ulipita kama mara hamsini hiv, na waajiriwa wapya wanahakikiwa kwanza kabla ya ajira..eneo pekee uhakiki haujagusa ni kwenye idara ya ulinz na usalama( police,jeshi na wengineo)...kwa hyo bwana mnyonge kama unapenda watu wapoteze ajira ww ufurahi pendekeza uhakiki upite eneo hilo
 
Anatakiwa arekebishe hiyo mifumo kwa nia njema ya kujenga.

Lawama ni lazima kuwepo ila atakuwa ameliponya taifa.
JPM alifanya hicho mnachotaka kifanyike leo. Au mnataka kumaanisha kwenye utawala wake ndipo wimbi la vyetu feki lilishamiri au kupungua.
 
Tena napenda uanzie huko...ili tupate wana-usalama wenye sifa...kuna vijana wengi sana mtaani ni wataalam katika fani mbalimbali ingefaa wakawekwa huko baada ya fagio kupita.
 
Sio vyeti feki tu.. Mama afanye proffesional/Skills audit kuona kama watu waliokalia nafasi mbali zinawafit au wamepwaya...

Ili wenye njaa na kazi na uwajibikaji wakalie nafasi.. wavivu wachukue nafasi yao huku kwenye vijiwe. 🙂
 
Higo ndio njia JPM kapitia...ili tufike uchumi wa kati wa juu ni lazima apite njia ile ile.
Vyeti feki havikuwahi kuleta uchumi wa kati ndio maana walikimbilia kwenye uhujumu uchumi n.k vyeti feki watumishi hewa ilikuwa delaying strategy kuminya haki za watumishi. Imagine 5 years mtumishi anaimbiwa nyimbo za uhakiki vyeti feki watumishi hewa huku mshahara aliouacha jk ukiwa vilevile
 
Yaani kila Rais ajaye aanze kuangalia vyetu feki!! Kuna matatizo mengi hapa nchini kuliko hivyo vyeti feki.

Tujaribu kuwa serious hata kama tuna uhuru wa kutoa mawazo.
Huoni kua pengine hayo matatizo mengi uliyo yasema yanaweza kua yanasababishwa na hao wenye vyeti feki?
 
Mawazo ya hovyo sijapata ona..

Akifuta miradi ya maji watu walioko huko wanywe nini?

Yaani umeongea pumba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…