Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,546
Kabla ya ajira apitishe fagio kwanzaAaah mnazingua tu vyeti gani tena feki?,mwambie aajiri halmashauri ziko hoi kila sehemu kaimu kaimu.....watu kibao mtaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya ajira apitishe fagio kwanzaAaah mnazingua tu vyeti gani tena feki?,mwambie aajiri halmashauri ziko hoi kila sehemu kaimu kaimu.....watu kibao mtaani
Higo ndio njia JPM kapitia...ili tufike uchumi wa kati wa juu ni lazima apite njia ile ile.Acha kumuingiza choo cha kiume.
Kwamba miaka 6 tulikuwa tunadanganywa kuwa wanashughulikia vyeti feki? Wale 20000+ ilikuwa siasa?Kabla ya ajira apitishe fagio kwanza
Anatakiwa arekebishe hiyo mifumo kwa nia njema ya kujenga.Wala tatizo si elimu kama tatizo ni vyeti feki basi tatizo ni mifumo yetu.
Waligusa kada mbili tu...itabidi waingie kada zingine.Kwamba miaka 6 tulikuwa tunadanganywa kuwa wanashughulikia vyeti feki? Wale 20000+ ilikuwa siasa?
Kwingine kote uhakiki ulipita kama mara hamsini hiv, na waajiriwa wapya wanahakikiwa kwanza kabla ya ajira..eneo pekee uhakiki haujagusa ni kwenye idara ya ulinz na usalama( police,jeshi na wengineo)...kwa hyo bwana mnyonge kama unapenda watu wapoteze ajira ww ufurahi pendekeza uhakiki upite eneo hiloNaona watu wameanza kujisahau...hii nchi sio shamba la bibi tena.
Naomba sana TISS wa mitandaoni mfikishe hili wazo kwa mama... tukimaliza msiba tu...aanze ukaguzi wa vyeti vya kitaaluma hasahasa kwa kada ya uhasibu, sheria, afya na hata ualimu...in short aguse kada zote ili tutoe pumba zote zilizobakia...kwenye hili asicheze na nyani.
JPM alifanya hicho mnachotaka kifanyike leo. Au mnataka kumaanisha kwenye utawala wake ndipo wimbi la vyetu feki lilishamiri au kupungua.Anatakiwa arekebishe hiyo mifumo kwa nia njema ya kujenga.
Lawama ni lazima kuwepo ila atakuwa ameliponya taifa.
Tena napenda uanzie huko...ili tupate wana-usalama wenye sifa...kuna vijana wengi sana mtaani ni wataalam katika fani mbalimbali ingefaa wakawekwa huko baada ya fagio kupita.Kwingine kote uhakiki ulipita kama mara hamsini hiv, na waajiriwa wapya wanahakikiwa kwanza kabla ya ajira..eneo pekee uhakiki haujagusa ni kwenye idara ya ulinz na usalama( police,jeshi na wengineo)...kwa hyo bwana mnyonge kama unapenda watu wapoteze ajira ww ufurahi pendekeza uhakiki upite eneo hilo
Hayati JPM hakugusa kada zote...mama amalizie zote zilizobaki.JPM alifanya hicho mnachotaka kifanyike leo. Au mnataka kumaanisha kwenye utawala wake ndipo wimbi la vyetu feki lilishamiri au kupungua.
Kada zipi hazikuguswa?Hayati JPM hakugusa kada zote...mama amalizie zote zilizobaki.
Kwenda mbele...Tutakuwa tunapiga hatua kwenda mbele au kurudi nyuma,.....!?
Gharama itarudi tu mkuu...Gharama za kufuatilia vyeti feki inaweza kuzidi ata mishahara ya hao wenye vyeti feki
Yaani tutakuwa taifa la ajabu kuendeshwa kwa mwendo wa kilevi.Tutakuwa tunapiga hatua kwenda mbele au kurudi nyuma,.....!?
Vyeti feki havikuwahi kuleta uchumi wa kati ndio maana walikimbilia kwenye uhujumu uchumi n.k vyeti feki watumishi hewa ilikuwa delaying strategy kuminya haki za watumishi. Imagine 5 years mtumishi anaimbiwa nyimbo za uhakiki vyeti feki watumishi hewa huku mshahara aliouacha jk ukiwa vilevileHigo ndio njia JPM kapitia...ili tufike uchumi wa kati wa juu ni lazima apite njia ile ile.
Huoni kua pengine hayo matatizo mengi uliyo yasema yanaweza kua yanasababishwa na hao wenye vyeti feki?Yaani kila Rais ajaye aanze kuangalia vyetu feki!! Kuna matatizo mengi hapa nchini kuliko hivyo vyeti feki.
Tujaribu kuwa serious hata kama tuna uhuru wa kutoa mawazo.
Mawazo ya hovyo sijapata ona..Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:
1. Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2. Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa
3. Futa Mpango wa kujenga Daraja la Mwanza la ziwani
4. Ondo miradi ya Maendeleo ya maji chato
5. Ondoa makao makuu Dodoma, na turudi Dar
6. Futa strogiers gourge..tuendeleze gas na tuwape makampuni binadsi kuzalisha umeme ili tupate ajira zaidi
7. Futa SGR ili hera ziendele kwenye maendeleo ya watu na siyo ya vitu
8. Fut mambo ya EFD kwani yanasababisha biashara kusinyaa.