Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Eti "mtatamani aendelee kutawala mda mrefu!".........
Hivi ww una makamasi kichwani mwako? Utatama
😂😂😂naiona roho ya Magufuli ikifanya kazi kwa kasi ya ajabu kupitia Mama Samia! Wezi mtajiju! Siyo kwa mapovu hayo! Magufuli's secret weapon Mama Samia ndio kapewa rungu! Gogogogo 'Iron lady' go go go!
Tanzania 1st
 
Nami nimeshangaa mkuu... huo uzi wako niliuona dakika chache tu ulipoupost ila nilipojaribu kuufungua kumbe muda huo huo umeondolewa. Dah, sijui kwa nini? JF inapoteza slogan yake kw kweli
 
Nami nimeshangaa mkuu... huo uzi wako niliuona dakika chache tu ulipoupost ila nilipojaribu kuufungua kumbe muda huo huo umeondolewa. Dah, sijui kwa nini? JF inapoteza slogan yake kw kweli
Bora waibadili tu ili tuendane na hali halisi ambayo huenda imechangiwa na watawala waliopo leo hii.
 
Kiukweli jf inapoteza mvuto sasa,hebu jirekebisheni, humu sisi ndo tunaona sehemu salama ya kutoa maoni yetu
 
Kwanini huungi, wakti wote tunakubaliana haya mamiradi ndo yamefanya hera ipungue mifukoni mwetu
bora ikamilike kuna fedha nyingi sana za wananchi pale. Ushauri tuikamilishe ila kwa awamu siyo yote kwa wakati mmoja kama ilivyokuwa inajengwa yote kwa pamoja kwa gharama ya haki za makundi mengine
 
Uzi wako mwepesi sana acha mihemko unapooandika utapata comment bila hivyo wapiga kelele
 
Unaweza kuwa mtoto wa jiwe wewe
 
Hii ya kurundika mada zote kwenye uzi mmoja, sometimes nahisi inatumika kufifisha mada wasizozipenda kwasababu wanazozijua wao
Mimi naona sawa tu, kwanza ulichoweka ilibidi kiondolewe kabisa.Mtu mkongwe hawezi kuandika mada ya kijinga vile.
 
Yaani kila mtu anapiga kelele anadhani atasikilizwa na Mama nawaangalia tuu endeleeni...
 
Mh Rais SSH, shirikiana na mwenzako mh Rais HAM wa Zanzibar ili kutengeneza katiba itakayotoa uhuru na mamlaka kamili ya Tanganyika na Zanzibar kupitia mfumo wa Serikali 3 kama ilivyoainishwa kwenye rasmu ya katiba ya Warioba. Weka mfumo wa uongozi kupitia katiba mpya ili uepukane na mtindo wa show ya mtu mmoja.
 
Anapoangalia wa kumpendekeza kuwa makamu wake wa Raisi aangalie miaka 5 hadi 10 mbele huyo mtu kama atatufaa kama taifa na siyo makundi. Pili awe ni mtu asiye na skandali ya aina yeyote, wizi, uzinzi na uasherati,uuaji,dhuluma, mdomo mchafu n.k.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…