Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,558
Mmeongea mengi, mmeshauri mengi, mmewaza vingi, lakini mambo ambayo Mama Samia anatakiwa ayafanye ni muendelezo tu wa yale aliyoyaanzisha Rais aliyetangulia, anachotakiwa kufanya kipya ni ambayo hayajafanywa na Magufuli nayo ni machache lakini ndio kiu ya watanzania (1) ajira (2)mishahara (3) kodi kandamizi (4) diplomasia