Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
🤣🤣🤣Ile baby walker itafika Chato niokoe gharama za nauli? Tuwahi msibani maana tukichelewa guest zitajaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Ile baby walker itafika Chato niokoe gharama za nauli? Tuwahi msibani maana tukichelewa guest zitajaa.
🤣🤣🤣Wacha wafu wazikane ni suala la mda tuu na wao tutawazika
Ukitimiza vigezo mbona ni rahisi tu kupata pasipoti.Mama samia inabidi awaruhusu watu kwenda nje ya nchi kirahisi. Urasimu wa kwenye passport ufe. Yeyote anayetaka passport apewe bila masharti ilmradi tu awe matanzania. Ikibidi nikionyesha tu kadi ya NIDA nipewe passport.
Tuachane na mtindo wa nchi za kijamaa kufungia watu wake.
Vigezo vya kirasimu, eti mpaka uonyeshe barua ya mualiko, mkataba wa kazi na maswali kibao kuwa unaenda kufanya nini.Ukitimiza vigezo mbona ni rahisi tu kupata pasipoti.
Muhimu kutenda haki aliyepita ni mzuri shida kwenye haki alipwayaMtapata taabu saana maana Mama Samia is the 'iron lady'! Ukiingia anga zske tu kuvuruga serikali iliyoyaanzisha chini ya JPM, ambayo yy naye slikuwa sehemu ya serikali hiyo lazima apite na weye! Hamtaamini huyu mamaatakavyokuwa zaidi ya Magufuli kwa kutokucheka na nyani! Mama Samia atapandisha viwango vya uongozi kiasi kwamba tutatamani aendelee kutawala kwa muda mrefu! Nafasi ya mwanamke kuchukua madaraka makubwa inaenda kuhakikishwa kwa utendani bora wa Mama Samia! Wezi mmeula wa chuya! Hamna chenu hapa!
Ni kweli ngumu kumesa ila hana namna ili mambo yaende sawa.Du ngumu kumesa
Hio ndio faida y serikali mbili maana nyinyi hua hamuoni mbele. Narudia, Mama Samia ateua IGP, CDF na Boss wa TISS kutoka Zanzibar ili muone faida ya huu Muungano.Ushauri wako ni wa kisenge sana,unataka tuwekwe chini ya hao watumwa wetu wa toka enzi za Uhuru,ningewashangaa mods kuuacha huo unaoita Uzi hapa jukwaani
Kiufupi huo haukuwa uzi bali takataka ndio maana mods wameupeka sehemu sahihi(recycle bin)