Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

1Alipotangaza msiba alituambia maombolezo siku 14 mara ikabadilika na kua siku 21.
2 Alipoteua mawaziri alituambia nitawaapisha kesho saa nne badala yake wakaapishwa saa 9.
3 Kateua mtu Jana leo anamtengua
Hii maana yake nini?
Mambo ya Ghafla lakini tusimshangae kuna sabotage mahala

Mambo yatakaa sawa I hope
 
1Alipotangaza msiba alituambia maombolezo siku 14 mara ikabadilika na kua siku 21.
2 Alipoteua mawaziri alituambia nitawaapisha kesho saa nne badala yake wakaapishwa saa 9.
3 Kateua mtu Jana leo anamtengua
Hii maana yake nini?
Sorry mkuu kamteua nani na kamtengua fasta? na je ni sababu zipi zinadhaniwa kumtengua aliemteua fasta namna iyo?
sikufatilia Sana issues Jana na Leo.
 
Upumbavu ni kugundua kua kuna mistake umefanya na unaendelea kushupaza shingo.

Hivi mfano umenunua bidhaa na unafika nyumban unagundua imeisha muda wake wa matumizi, utaendelea kuitumia hivyohivyo? (assume hakuna uwezekano wa kuirudisha)
 
Sorry mkuu kamteua nani na kamtengua fasta? na je ni sababu zipi zinadhaniwa kumtengua aliemteua fasta namna iyo?
sikufatilia Sana issues Jana na Leo.
Mkurugenzi wa TPDC.

Sababu wajuba wanadai hana qualification za hiyo kazi.
 
Umenigusa apo kwenye elimu kiongozi. Sema kweli umetoa point jabali.

Tunaitajika kuwa na elimu ya mabadiliko ambayo itasidia kwenda kwnye hilo taifa la uchumi wa kati na kufika uchumi wa juu.

Sahivi nchi nyingi duniani zimewekeza kwenye tehama ambapo uwezi sema huku kwetu tunaweza kutoa elimu hiyo kuanzia shule za awali mpka vyuo viku kwasababu mazingira bado siyo rafiki. Ushauri wa kuongezea ni kuwa kuwe na mazingira sahihi ya kuanda mabadiliko ya kielimu na siyo kuongeza fakalti za ajabu ajabu.

Taifa lolote haliwezi endelea kama litakuwa na elimu ya kusuw suwa. Mana lazima watoke watalamu vumbi. Madaktari vumbi watalamu wa uchumi vumbi na hii itaendelea kudidimiza kasi ya maendeleo ya taifa.

Naipenda JF huwa inanifunguwa akili.
 
Siyo rahisi mtu mwenye maono mapana ya kitaaluma kuingia kwenye siasa akiwa na umri mdogo japo wapo wachache sana

Ukimkuta msomi UVCCM basi iangalie kwa makini elimu yake utakuta ni ama ya kuunga unga au kasoma masomo ya kimbwiga
Siyo kwamba naponda bali huo ndio ukweli mchungu.

Hivyo namshauri Rais Samia asiwategemee sana UVCCM anaweza kwenda mbali zaidi na kuwaibua " mafundi" wa kisekta wamsaidie kuimarisha uchumi na maendeleo kwa ujumla.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ni bora mara mia zaidi kukutana na nguvu za giza kuliko Ushauri kama Huu.
 
Hivi toka lini hili likawa sawa sawia ?

Watu tumehitimu vyuo mwaka 2015 mpaka leo 2021 hatuna ajira.

Kwa nini serikali haikusema mapema kabla ya kuanza kusoma vyuo kuwa kwa sasa hakutakuwa na ajira za serikali?

Serikali imeharibu maisha na ndoto za watu wangapi kwa kutotoa ajira kwa miaka 6?

Halafu wajinga wachache yaani
(walioajiriwa, viongozi wa serikali, wafanya biashara au walioshindwa shule), wanasema tujiajiri.
Elimu ya vyuoni inayotolewa hailengi kujiajiri na hata hivyo,mitaji iko wapi ya kujiajiri?

On top of that: Retention fee ya mkopo wa HESLB na deni lenyewe kubwa.

Kwa hiyo mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan,kwa hekima yako tunakuomba uondoe haya maumivu ya maelfu ya vijana tulioko mtaani bila kazi ya maana.

Usiwasikilize washauri wako wanaoangalia matumbo na familia zao.

Allah Akbar.

Tumecheleweshwa sana.
 
Habari wakuu leo nataka kukumbusha au kumshauri Rais Samia japo hapangiwi kazi.
Ushauri wangu ni kuwa mama amfikrie Profesa SHUKRANI E. MANYA.

Ikumbukwe profesa huyo aliteuliwa na Magufuli kipindi chake, lakini alishindwa kuapa kwa matatizo tusiyo yajua.
Ombi langu kwa mama japo amfikrie profesa huyo.
Kwa sababu kitu alicho fanyiwa kilikuwa si kizuri kweli.
Povu ruksa
 
Habari wakuu leo nataka kukumbusha au kumshauri Rais Samia japo hapangiwi kazi.
Ushauri wangu ni kuwa mama amfikrie Profesa SHUKRANI E. MANYA.
View attachment 1744828
Ikumbukwe profesa huyo aliteuliwa na Magufuli kipindi chake, lakini alishindwa kuapa kwa matatizo tusiyo yajua.
Ombi langu kwa mama japo amfikrie profesa huyo.
Kwa sababu kitu alicho fanyiwa kilikuwa si kizuri kweli.
Povu ruksa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Povu ruksa
 
Mkuu acha hii mambo ya promotion za watu

Hebu achana nayo bhana
 
Mkuu naona utakuwa umechanganya mafile, Professor Shukuru ni Naibu waziri wa Madini, yule aliyeshindwa kuapa ni mtu mwengine, ungefanya kwanza tafiti kabla ya kuuleta huu uzi
 
Tunaye Rais, sasa huyu si Jembe bali ni Sururu kabisa. Binafsi nimeridhika sana na approach yake katika utendaji na jinsi anavyoandaa safu ya utekelezaji wa maono yake. Tumuunge mkono.

Pendekezo:
Ile Salaam ya "NAWASALIMU KWA JINA LA MUUNGANO" napendekeza jibu liwe "KAZI MTINDO MMOJA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…