johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sasa ulitaka Mwesiga asitenguliwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23]Kapokea ndege ikiwa angani..
La kushukuru anaenda vizuri
Mambo ya Ghafla lakini tusimshangae kuna sabotage mahala1Alipotangaza msiba alituambia maombolezo siku 14 mara ikabadilika na kua siku 21.
2 Alipoteua mawaziri alituambia nitawaapisha kesho saa nne badala yake wakaapishwa saa 9.
3 Kateua mtu Jana leo anamtengua
Hii maana yake nini?
Mapema mno kispot errors. Tusubiri kama itaoeleka kuwa hivyoTumpe muda, ila inabidi pia awe makini na Washauri wake.
Sorry mkuu kamteua nani na kamtengua fasta? na je ni sababu zipi zinadhaniwa kumtengua aliemteua fasta namna iyo?1Alipotangaza msiba alituambia maombolezo siku 14 mara ikabadilika na kua siku 21.
2 Alipoteua mawaziri alituambia nitawaapisha kesho saa nne badala yake wakaapishwa saa 9.
3 Kateua mtu Jana leo anamtengua
Hii maana yake nini?
Upumbavu ni kugundua kua kuna mistake umefanya na unaendelea kushupaza shingo.1Alipotangaza msiba alituambia maombolezo siku 14 mara ikabadilika na kua siku 21.
2 Alipoteua mawaziri alituambia nitawaapisha kesho saa nne badala yake wakaapishwa saa 9.
3 Kateua mtu Jana leo anamtengua
Hii maana yake nini?
Mkurugenzi wa TPDC.Sorry mkuu kamteua nani na kamtengua fasta? na je ni sababu zipi zinadhaniwa kumtengua aliemteua fasta namna iyo?
sikufatilia Sana issues Jana na Leo.
Umenigusa apo kwenye elimu kiongozi. Sema kweli umetoa point jabali.Wakati tuko mbioni kupata Rais mpya wa sita katika awamu ya tano. Tunamsihi sana apate kutekeleza majukumu yake katika Maslahi Mapana ya taifa. Na apate kutambua pia maana ya kauli ya Maslahi Mapana ya taifa. Maana viongozi wengi huamini Maslahi ya taifa Ni katika vitu tu hususa (miundo mbinu, rasili Mali vitu, n.k) na hukomea hapo....
Naipenda JF huwa inanifunguwa akili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Habari wakuu leo nataka kukumbusha au kumshauri Rais Samia japo hapangiwi kazi.
Ushauri wangu ni kuwa mama amfikrie Profesa SHUKRANI E. MANYA.
View attachment 1744828
Ikumbukwe profesa huyo aliteuliwa na Magufuli kipindi chake, lakini alishindwa kuapa kwa matatizo tusiyo yajua.
Ombi langu kwa mama japo amfikrie profesa huyo.
Kwa sababu kitu alicho fanyiwa kilikuwa si kizuri kweli.
Povu ruksa