Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Ume
U
Mapambio sawa kuyasikikliza,akili za kuambiwa chnganya na za kwako(J.M.Kikwete).
 
Sukuma Gang mumeviiimba!!! Wacheni noma zenu
 
Nasema mama ni mtamu kwa msisitizo
wewe endelea kusisitiza ila moderators wamesikia hoja yangu na wameifanyia kazi immediately, wame edit title yako na kuondoa neno "mtamu".

hiyo ni kuonyesha mimi ni mwerevu, wewe ni mjinga.
 
wewe endelea kusisitiza ila moderators wamesikia hoja yangu na wameifanyia kazi immediately, wame edit title nzima ya uzi wako.

hiyo ni kuonyesha mimi ni mwerevu, wewe ni mjinga.
Mwerevu anayeshughulishwa na mjinga haha
 

Tatizo sio mama. Mara nyingi huwa Sisi hatupendi kufikiri na kujijudge. Watanzania tunapenda no pain but gain tu kwa gharama yoyote. Muda utaongea.
 
Umesahau kuwa Mh Raisi ni mwanamama Tena mwenye asili ya Pwani.
Vijembe lazima ili mradi asituambie tukae na mavi yetu
 
Vijana wa siku hamna heshima kabisa. Mbali ya kuwa Rais wa nchi pia ana umri zaidi au kama mama yako.
Kuna utamaduni mbaya sana umekuja, kila kitu ni utani. Mustakabari wao, wa familia zao wa taifa,ajira, biashara, Afya, elimu, ulinzi, haki zao mitandaoni na mitaani anajaribu kuweka sawa.

Tena kwa unyenyekevu na nia ya dhati. Wakiletewa jembe ambalo halivumilii matusi, kejeli, kebehi wanalia. Badala ya kumpa support, at least benefit of doubt.

At wapi matusi kwa kwenda mbele.
 
Wasukuma hawanaga aibu

Hatuwaiti watu kwa majina yao tena ni makabila yao hasa wakiwa wasukuma tu. Hii mipango ya viongozi nyie kutumia ukabila haitakufikisheni popote.

Anampango nao wale sangara, sato, dagaa, ngombe, mbuzi, kondoo anataka wakauzwe Uarabuni.

Achilia mbali madini na vinginevyo Wasukuma hawana njaa, kilimo kimeshamiri, atafuta masoko ya uhakika mchele, mahindi, pamba etc.

Amewateu wengi, watu millioni 20 hawawezi kubabaishwa na kampeni zenu za kitoto. Halafu ndio wanazaliana zaidi, chakula sio issue. Tegemea wataongezeka.

Kwenye serikali yake wapo wengi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…