Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Surveyor kwenda site kama hujatoa pesa utazungushwa mpaka ukome, kwanini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaomba kukusikiliza na kufanyia kazi taarifa zako tafadhali tujulishe ni eneo gani? Wilaya na namba ya simu kwa hatua zaidiNiwasalimu kwa Jina la JAMHURI.
Naomba nianze mapema pasipo kupoteza muda,
Tatizo la Umeme linaanza kushika hatamu taratibu kabisa Rais Mtukufu yupo kimya watendaji husika wapo kimya nikimaanisha waziri pamoj na wizara nzima pia mkurugenzi wa shirika la Tanesco.
Saivi kukata umeme weekend imeanza kurudi ka zamani kukatika siku za kawaida nayo imerudi.
Mama samia kua makini hii kero tulianza kuisahau vile lakini naona kama inarudi hivi usipoangalia hili litakua shirika namba moja kukutia dosari naamini we ni msikivu sana nahisi ushaliona tunaomba ulifanyie ufumbuzi mapema watanzania tuendelee kujenga uchumi wetu wa kati.
FINITO
Tuwangojee TAKUKURU watoe Taarifa YaoHapo vip!
Binafsi nimekuwa mtanzamaji na msomaji sana katika hili swala la Ole Sabaya. Baada ya kuona mashambulizi yanakuwa makubwa..nikaona nilifanyie utafiti na kujiuliza maswali ya msingi.
Ni kweli kuna maneno mengi sana yameongelea kuhusiana na Sabaya ila katika hizi tuhuma tuziangalie kwa mapana na kujiuliza maswali ya msingi.
Binafsi nimeshaona clips nyingi Ole Sabaya akiwasaka wafanyabiashara wanaibia serikali serikali na kwa kukwepa kodi..mkwepa kodi ni sawa na mwizi kama mwizi mwingine..katika nchi za ulaya ni anapewa adhabu kubwa sana.
Pia nilishaona clips mbalimbali akitatua migogoro ya ardhi jambo ambalo limeleta suluhu kwa wananchi walionyima haki yao kwa muda mrefu...nimeona clip nyingi sana...sasa swali la msingi la kijiuliza... kati ya Sabaya na hao wafanya biashara wanaokwepa kodi na Jambazi?
Ninachokiona hapa kuna hoja za chuki dhidi ya huyu bwana zenye elements za kisiasa na ukabila.
Ukirejea clips ya Lema na Sabaya kuna kitu cha kujifunza wakati Lema anasema community ya kichagga..kwenye hiyo sentence kuna vitu vya kujifunza.
Harakati ambazo zilikuwa zikiendelea mitandao dhidi ya Sabaya ni harakati za kumuondoa hai kwasababu amekuwa mwanga na mtu jasiri dhidi watu wachache wenye nguvu katika ile jamiii walikuwa mungu watu dhidi ya watu wanyonge.
Lakini pia embu tujaribu kuchukua sample ya watu wanaorusha sana tuhuma dhidi ya Sabaya utakuta ni watu wenye idiology moja kisiasa au utakuta ni kabila moja.
Hata hao wanaorusha tuhuma sio wasafi sana katika uongozi wao ni watu waajanja wajanja.
Namshauri mama na Rais wangu Samia aangalie hili swala kwa mapana yake. Kuna kikundi cha watu wenye interest naona wanafanikiwa kummanipulate mama kwa interest za kikabila na za kisiasa.
Pia naamini Sabaya hakuwa msafi katika uongozi wake ila naona exaggeration kwenye tuhuma zake.

AhaaaBavicha wanakuja!
Kama ni suala la maoni ushauri na pongezi,na mapendekezo ,Mimi binafsi sijawahi kikuamini na penguine haita tokea kutokana na mrengo wako ninao ufahamu siku zote.Kama ni wakati wa kupambana na hali zetu watanzania basi ni sasa.
Mkuu wa nchi amekiri wazi kuwa hana macho ya kuona madhaifu ya viongozi aliowateua kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake.
Amekiri yeye hana muda wa kufika na kutembelea site na kisha kuona kama mafundi wamemdanganya.
Hivyo ameawaachia wakuu wa mikoa na makatibu tawaala mikoa wamsaidiae.
Sasa kama hawa wakuu wa mikoa na makatibu tawala walikuwa wanaumbuka kwa fyongo walizokuwa wakifanya huku mtangulizi wake alikuwa na macho makali kuwakagua. Vipi kwa mama Samia ambae amekiri wazi kuwa hana uwezo wa kubaini madhaifu yao?
UpiKama ni suala la maoni ushauri na pongezi,na mapendekezo ,Mimi binafsi sijawahi kikuamini na penguine haita tokea kutokana na mrengo wako ninao ufahamu siku zote.
Binafsi nimetokea kulichukia hili shirika ,,,kutokana na watendaji wake,,Tarehe 20Apr2021,,nilinunua umeme kwa njia ya Nmb mobile nakupa token ,,kutokana na kiwango cha fedha yangu,,,niliingiza Token nilizopewa ,,,lakn haikuaccept karibu kwa muda wa siku nzima,,,maandishi yaliyokuwa yanajitokeza ni Error 77,,,ndipo nikawapigia TANESCO Emergency,,Chanika nao wakanifungulia TB,,,(Taarifa binafsi)tarehe 26Apr2021,,,wakaja mafundi na hapo ni baada ya kupiga simu sana,wakaniambia kile kiremote nikipeleke Chanika TANESCO,,nitapewa maelekezo huko,Trh27 Apr 2021 nikaenda nikaonana na customer care wakanieleza niingie ofisi ya Engineer.akakiona na kunipeleka kwa muhasiba ,,,eti nilipie 133,097/= kwa kuwa kirimoti kimeharibika ,,,,sikuwa na hiyana ,,nikapewa control number ,,na kulipia kiwango hicho,,,,,,baada ya kulipia nikawapelekea risit,,na kuambia system imeonyesha nimeshalipia hivo nisubiri ndani ya wki moja TANESCO watakuja kuondoa metre ya zamani na kuweka mpya maana ile ya hakuna rimot mbadala,,,.nimesubir toka kipnd hicho cha wiki moja kimeisha,,hakuna fund aliyekuja ,,,nimepiga simu mpaka nimechoka jibu nalopewa TANESCO Emergency,,,wapo njiani watanipitia,,,,Trh 24May nikafunga safar had TANESCO kuwauliza kulikoni mbona sihudumiwi,,,nikaambiwa ,,,nifungue Taarifa upya ,,,maana Hawana metre mpya kuja kunifungia,,hivyo watakuja kukata mfuniko wa metre ya zamani nami nitapata huduma ,,,ivo ndani ya masaa24 watakuwa wamenifikia,,masaaa 24 yamepita hamna huduma ,,nimepiga simu emergency majibu yao ni hayo hayo,,nimewasiliana na Boss wao anaitwa salvatory majibu yake ni yale yale eti watakuja ,,wanataarifa zangu,,jana tarehe 1jun napigiwa simu saa moja jioni,,na emergency ,,niwaelekeze kwangu mewaelekeza lakn hawakutokea,,,nimewapigia simu.kuwauliza kulikoni ,,,,naletewa tu ngonjera,,,,kiukwel ,,nimetokea kuwachukia mno,,.tukichukua hatua za kuwambia viongozi ngazi za juu mtaona tunawachongea,,,,naomba shirika chukueni hatua kwa watendaji hawa ambao wanalitia madoa shirika,,,waziri wa nishati naomba liangalie hilo swala kwa umakini,,Ndugu mteja,
Pole sana kwa changamoto unaopata. Je tunaweza kujua eneo lako, wilaya na mkoa wako kwa ajilinya ufuatiliaji. Pia tutashukuru sana kupata mrejesho
We pumbavu kama hujui kaa kimyaKatika watu wapumbavu wasio na point ni wewe sijui kuna mtu anakununulia bando au ni pesa zako, yani kila siku ni kuandika uharo tu, aibu yako.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app