Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Ndugu zangu Watanzania,

Napenda tu mfahamu ya kuwa Mkuu wa Nchi au waweza kusema Rais wa Nchi anaweza kuwafanya wananchi na Taifa kwa ujumla kuwa na Furaha,amani na utulivu mioyoni Mwao.anaweza kuwafanya watu wakaishi pasipo hofu wala wasiwasi wala mawazo ya huzuni au Msongo wa Mawazo.

Matendo ya Rais ,kauli za Rais,sera za Rais,matamko ya Rais ni vitu vinavyoweza kuchochea hayo niliyoyaeleza hapo juu. Ni kauli za Rais zinaweza kujenga umoja wa kitaifa, mshikamano, upendo miongoni mwa wananchi na kwa upande Mwingine ni kauli hizohizo Za Rais zinaweza kuchochea na kujenga hali ya uhasama ,ubaguzi ,mpasuko katika Taifa,kuvunja umoja wa kitaifa na hata kujenga chuki katika mioyo ya watu.

Ni matendo ya Rais Pia yanaweza chochea umoja na mshikamano pamoja na imani ya wananchi kwa serikali yao ,taasisi za serikali na ofisi za umma.na ni matendo ya Rais yanaweza ondoa imani ya wananchi kwa serikali yao,taasisi zao na hata ofisi za umma pamoja na kuwa na chuki nazo.

Lakini pia sera za Rais zinaweza inua matumaini ya watu au kuwakatisha tamaa.zinaweza fanikisha ndoto za watu au kuzima ndoto za watu.ndio maana wengine hufikia hatua ya kutamani kiongozi fulani na utawala wake upite haraka ili wapate kupumua na kupata matumaini kiuchumi.ndio sababu wengine hupata sauti ya kumpinga kiongozi fulani na kumtaka ajiuzuru kwa sababu ya kukosa matumaini chini ya utawala wake.

Ukiangalia tangia kuingia madarakani kwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan unaona namna alivyoinua matumaini ya watu,imani ya watu kwa serikali yao,kujenga umoja wa kitaifa, mshikamano na upendo miongoni mwa wananchi.amaeleta nuru na mwanga kwa maisha ya wengi,amechochea matumaini ya wengi kutimiza ndoto zao na kufikia malengo yao.

Rais Samia amewafanya Watanzania kuwa wenye furaha kutokana na kauli zake zenye kuhimiza umoja na mshikamano,kuhimiza na kutenda haki kwa vyombo vyote vya utoaji haki. Sera zake kiuchumi zimekuwa zenye kuleta matumaini makubwa sana.ndio sababu kila siku mitaani biashara mpya zinafunguliwa na kuongezeka kwa kasi.

Watanzania Tuna kila sababu ya kumshukuru sana Rais Samia kwa uongozi wake huu wenye kugusa maisha ya watu na kumfikia kila mmoja kwa kadri ya mahitaji yake na kiu yake.tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano Ya Urais kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.amani na furaha yetu vipo mikononi mwa Jemedari wetu Hodari Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.View attachment 3074324

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Labda furaha ya nyie watanzania mazombie.
 
Watanzania wanaojitambua na wenye akili Timamu wanaelewa vyema na vizuri sana mchango wa Rais Samia kuwafanya wakaishi kwa amani , Utulivu na furaha mioyoni wanao.ndio sababu wanaendelea kumuunga mkono kwa kishindoo.
Screenshot_20240805-224054_1.jpg
 
Lucas angalia unapoenda unaenda kukufuru hivi ni lini utakua na akili wewe kwenye uchaws pia haumo wewe ni bung'o wewe
Rais Samia Mama yetu Mpendwa ataendelea kuishi katika mioyo yetu watanzania kwa namna alivyoleta na kuchochea furaha mioyoni mwetu.angalia namna tunavyoishi kwa furaha ,amani, utulivu,umoja , mshikamano na upendo wa hali ya juu.
 
Mi furaha yangu imeshikiliwa na mke wangu maana ndiye ananipa mautamu 24/7
 
Ndugu zangu Watanzania,

Napenda tu mfahamu ya kuwa Mkuu wa Nchi au waweza kusema Rais wa Nchi anaweza kuwafanya wananchi na Taifa kwa ujumla kuwa na Furaha,amani na utulivu mioyoni Mwao.anaweza kuwafanya watu wakaishi pasipo hofu wala wasiwasi wala mawazo ya huzuni au Msongo wa Mawazo.

Matendo ya Rais ,kauli za Rais,sera za Rais,matamko ya Rais ni vitu vinavyoweza kuchochea hayo niliyoyaeleza hapo juu. Ni kauli za Rais zinaweza kujenga umoja wa kitaifa, mshikamano, upendo miongoni mwa wananchi na kwa upande Mwingine ni kauli hizohizo Za Rais zinaweza kuchochea na kujenga hali ya uhasama ,ubaguzi ,mpasuko katika Taifa,kuvunja umoja wa kitaifa na hata kujenga chuki katika mioyo ya watu.

Ni matendo ya Rais Pia yanaweza chochea umoja na mshikamano pamoja na imani ya wananchi kwa serikali yao ,taasisi za serikali na ofisi za umma.na ni matendo ya Rais yanaweza ondoa imani ya wananchi kwa serikali yao,taasisi zao na hata ofisi za umma pamoja na kuwa na chuki nazo.

Lakini pia sera za Rais zinaweza inua matumaini ya watu au kuwakatisha tamaa.zinaweza fanikisha ndoto za watu au kuzima ndoto za watu.ndio maana wengine hufikia hatua ya kutamani kiongozi fulani na utawala wake upite haraka ili wapate kupumua na kupata matumaini kiuchumi.ndio sababu wengine hupata sauti ya kumpinga kiongozi fulani na kumtaka ajiuzuru kwa sababu ya kukosa matumaini chini ya utawala wake.

Ukiangalia tangia kuingia madarakani kwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan unaona namna alivyoinua matumaini ya watu,imani ya watu kwa serikali yao,kujenga umoja wa kitaifa, mshikamano na upendo miongoni mwa wananchi.amaeleta nuru na mwanga kwa maisha ya wengi,amechochea matumaini ya wengi kutimiza ndoto zao na kufikia malengo yao.

Rais Samia amewafanya Watanzania kuwa wenye furaha kutokana na kauli zake zenye kuhimiza umoja na mshikamano,kuhimiza na kutenda haki kwa vyombo vyote vya utoaji haki. Sera zake kiuchumi zimekuwa zenye kuleta matumaini makubwa sana.ndio sababu kila siku mitaani biashara mpya zinafunguliwa na kuongezeka kwa kasi.

Watanzania Tuna kila sababu ya kumshukuru sana Rais Samia kwa uongozi wake huu wenye kugusa maisha ya watu na kumfikia kila mmoja kwa kadri ya mahitaji yake na kiu yake.tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano Ya Urais kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.amani na furaha yetu vipo mikononi mwa Jemedari wetu Hodari Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.View attachment 3074324

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hivi wote hmu hakuna mtu mwenye jini aniuzie kuna jambo nataka nifanye
 
ama kwa hakika ni kipenzi cha mioyo ya waTanzania,

na,
daima waTanzani wenye mapenzi mwema, tunakuombea kwa Mungu afya njema na maisha Dr.Samia Suluhu Hassan 🌹
 
Nilitaka kujua wewe ni kabira gani na umekulia mjini au kijijini?
 
Anachokosea mama watz sie tushazoea Tv fukuza mtu mbele ya tv watu washangalie kalipia watu mbele ya umati agiza rpc kamata uyu weka ndani, kula mapai ,kula muhindi wa kuchoma , gawa fedha maburungutu,jenga barabara kila kukicha kopa then sema fedha zetu za ndani, sema mabeberu hwatutakii mema ,fukuza uyu piga kirungu huyu mbele za watu kupitia Tv watu watashabgalia ita press conference tisha wahabdishi wa habari ongea ongea maneno yakujiayo kichwani atawin manake watz kuwateka rahis kupitia tv onyesha kusikitika onyesha kukasirishwa onyesha kuumia hata km pembeni vice versa sumbua watu wooote wanaosumbua utawala wako atawin ila ka sivyo bado ana kazi kubwa kucheza na TV
 
Rais Samia Mama yetu Mpendwa ataendelea kuishi katika mioyo yetu watanzania kwa namna alivyoleta na kuchochea furaha mioyoni mwetu.angalia namna tunavyoishi kwa furaha ,amani, utulivu,umoja , mshikamano na upendo wa hali ya juu.
Luca uko nchi hii hii au upo Botswana wewe?
 
Back
Top Bottom