Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Miradi ipi iliyosimama?Miradi imesimama kwa kukosa fedha. Tozo zinaongezeka. Kama kweli una akili timamu, unayoyahubiri yaendana na ukweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miradi ipi iliyosimama?Miradi imesimama kwa kukosa fedha. Tozo zinaongezeka. Kama kweli una akili timamu, unayoyahubiri yaendana na ukweli?
Nakupa mfano mmoja, nimepita juzi barabara ya Njombe kwenda ziwa Nyasa. Barabara iliyotinduliwa ili ijengwe lami, imetelekezwa na hata mitambo imeondolewa site. Barabara ina hali mbaya tangu masika hadi sasa.Miradi ipi iliyosimama?
Huyo kibwengo ana akili kiduuuchu tu za kusifia na kwendea chooni tu.Nakupa mfano mmoja, nimepita juzi barabara ya Njombe kwenda ziwa Nyasa. Barabara iliyotinduliwa ili ijengwe lami, imetelekezwa na hata mitambo imeondolewa site. Barabara ina hali mbaya tangu masika hadi sasa.
Halafu wewe unabwabwaja tu hapa.
Vua chupi mpe haraka. Jinga wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketeeNdugu zangu Watanzania,
Napenda tu mfahamu ya kuwa Mkuu wa Nchi au waweza kusema Rais wa Nchi anaweza kuwafanya wananchi na Taifa kwa ujumla kuwa na Furaha,amani na utulivu mioyoni Mwao.anaweza kuwafanya watu wakaishi pasipo hofu wala wasiwasi wala mawazo ya huzuni au Msongo wa Mawazo.
Matendo ya Rais ,kauli za Rais,sera za Rais,matamko ya Rais ni vitu vinavyoweza kuchochea hayo niliyoyaeleza hapo juu. Ni kauli za Rais zinaweza kujenga umoja wa kitaifa, mshikamano, upendo miongoni mwa wananchi na kwa upande Mwingine ni kauli hizohizo Za Rais zinaweza kuchochea na kujenga hali ya uhasama ,ubaguzi ,mpasuko katika Taifa,kuvunja umoja wa kitaifa na hata kujenga chuki katika mioyo ya watu.
Ni matendo ya Rais Pia yanaweza chochea umoja na mshikamano pamoja na imani ya wananchi kwa serikali yao ,taasisi za serikali na ofisi za umma.na ni matendo ya Rais yanaweza ondoa imani ya wananchi kwa serikali yao,taasisi zao na hata ofisi za umma pamoja na kuwa na chuki nazo.
Lakini pia sera za Rais zinaweza inua matumaini ya watu au kuwakatisha tamaa.zinaweza fanikisha ndoto za watu au kuzima ndoto za watu.ndio maana wengine hufikia hatua ya kutamani kiongozi fulani na utawala wake upite haraka ili wapate kupumua na kupata matumaini kiuchumi.ndio sababu wengine hupata sauti ya kumpinga kiongozi fulani na kumtaka ajiuzuru kwa sababu ya kukosa matumaini chini ya utawala wake.
Ukiangalia tangia kuingia madarakani kwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan unaona namna alivyoinua matumaini ya watu,imani ya watu kwa serikali yao,kujenga umoja wa kitaifa, mshikamano na upendo miongoni mwa wananchi.amaeleta nuru na mwanga kwa maisha ya wengi,amechochea matumaini ya wengi kutimiza ndoto zao na kufikia malengo yao.
Rais Samia amewafanya Watanzania kuwa wenye furaha kutokana na kauli zake zenye kuhimiza umoja na mshikamano,kuhimiza na kutenda haki kwa vyombo vyote vya utoaji haki. Sera zake kiuchumi zimekuwa zenye kuleta matumaini makubwa sana.ndio sababu kila siku mitaani biashara mpya zinafunguliwa na kuongezeka kwa kasi.
Watanzania Tuna kila sababu ya kumshukuru sana Rais Samia kwa uongozi wake huu wenye kugusa maisha ya watu na kumfikia kila mmoja kwa kadri ya mahitaji yake na kiu yake.tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano Ya Urais kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.amani na furaha yetu vipo mikononi mwa Jemedari wetu Hodari Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.View attachment 3074324
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uwe na adabu dogo.acha uropokajiHuyo kibwengo ana akili kiduuuchu tu za kusifia na kwendea chooni tu.
Kibwengo umekasirika? Ha ha ha haaaa!!!!!!Uwe na adabu dogo.acha uropokaji
Posho zipi ? Wakati taasisi kibao zimefutwa zimebaki chache zenye maslahi , assume unatolea TPA unapelekwa GPSA.
Kuna jamaa yangu katolewa TPA kapelekwa halmashauri ya itilima huko..anatamani kuacha kaziPosho zipi ? Wakati taasisi kibao zimefutwa zimebaki chache zenye maslahi , assume unatolea TPA unapelekwa GPSA.
Kuna jamaa yangu katolewa TPA kapelekwa halmashauri ya itilima huko..anatamani kuacha kazi
Umetumwaaaa si bureeeKiufupi Tangia niajiriwe hiki ndo kipindi nniemeanza kuonja matunda ya elimu yangu.
Nb hizi posho tuzitumie vizuri wakuu