UKAWA kwa viherehere! Hizo sehemu zingine mlimpangia nyinyi ziara?
Asee kwa hii kasi ya huyu jamaa miaka 10 itakua kama miaka 2 tu...tawala milele Pombe!
Zaidi ya yote ukingwe na maadui wote unaowatengeneza ukiwa na nia njema kabisa kwa nchi hii.
Eti Uhuru day 2012 inatumika billioni 20! Mwaka huu 4 billion ilipangwa itumike!ππ
Hizo tayari km 3.6 za barabara ya Morroco Mwenge...
Ya 2012 ilikuwa ni special - miaka 50 ya Uhuru na viongozi wa mataifa mbalimbali walialikwa tofauti na ya mwaka huu. Hata hivyo lazima kuna 10% za watu humo.
Amefanya la maana kupeleka kwenye barabara fedha za mwaka huu.
Hata miaka 100, ila sasa aliangalie upya suala la kupunguza watumishi,, kama atapunguza wakurugenzi sawa ila wenzangu na mm atuhurumie.
Swala la kupunguza wale walioingia kimagumashi na waliostaafu utumishi wa umma.
Yah, tumpe 20yrs yeye tu peke yake ili akimaliza turudishe kama ilivyokuwa. Hii itatusaidia kuipanga nchi yetu na kuwanufaisha watoto wetu na vizazi vijavyo.
unaleta ya kagame..
Ila wamarekani weusi watakwambia "term limits".Term limits are only possible when there are guidelines put in place to adhere to regardless of who is reigning.
Siungi mkono hoja, muda wa kukaa madarakani hata rais awe anakubalika kiasi gani kwa wananchi, ukifika muda wake ni BYE.