Nilichokitamani kwa miaka mingi, nahisi kama kinatimia!
Akitaka kumaliza mapema ni kuhalikisha familia ya msoga inawekwa chini
tangu ipitishwe bajeti ya serikali ya mwaka 2015/16 hakuna pesa ya maendeleo imepelekwa isipokua ndani ya mwezi mmoja aliokaa madarakani amesha peleka shs bilion 122 huyu jamaa akikaa madarakani miaka 5 itakuaje?
Dah hata mimi nasubiri mnoooooooooooooooo