Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
kuna kujitolea kumlinda MTU kwa aina tofauti.

mfano Mimi nimejitolea kumlinda kwa sala na maombi.
 
Mkuu Mawazo Mazuri sana..ila tambua Kamati Ya Ufundi kwa ulinzi Wa Kiroho Ndo Inahitajika Zaidi, so kwenye hilo mi nishajitolea Kitambo mnooo!

Samahani kwa usumbufu Mkuu! naomba utoe mistari kwenye hii thread, inanikera mnooo!


Pia BANGO JEUPE...na wenzio Wa Tunguri, Nao Wana nafasi kubwa kwenye hii mission!
 
Last edited by a moderator:
Nilichokitamani kwa miaka mingi, nahisi kama kinatimia!
 
Kinachotia moyo na kikubwa ambacho watanzania tunapaswa kujifunza ni kuwa hizo bilioni 22 zimepatikana kwa kubana matumizi yasiyo ya lazima tu. Na sasa hivi anaonyesha nia ya kuhakikisha kila kilcho cha Kaizari kiingie mfukoni mwa Kaizari.
 
Tumuombee Magufuli mafisadi hawataki hata kulisikia jina lake
 
Kuna sehemu alimgusia yule jamaa ambaye wafanyabiashara wote lazima wapitie kwake ili mizigo yao itoke bila kodi wala shida. Nadhani ndio maana HSC imefilisika walishaambiwa kuwa hatolindwa mtu.
 
tangu ipitishwe bajeti ya serikali ya mwaka 2015/16 hakuna pesa ya maendeleo imepelekwa isipokua ndani ya mwezi mmoja aliokaa madarakani amesha peleka shs bilion 122 huyu jamaa akikaa madarakani miaka 5 itakuaje?

Mbona unatoa siri!
 
Mkuu maneno mazuri ila tusaidie kitu kimoja toa hiyo mistari tafadhali.
 
leo unamsifia Mkristo?/immefundishana na udini ya yule aliyetoka mlitaka dunia ione tanzania ni nchi ya kiislam?mna akili fupi sana
 
hana sababu ya kuendelea kutoa singo kama alb?mu imekamilika. awamwage kwa tamko moja hamna sababu ya viporo ni mambo ya kale haya enzi za vasco ushahidi wakutosha upo magogoni.
 
natakak kujua lini utafanya ziara ya kushtukiza pale uhamiaji?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom