Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Hakuna asiyeshangilia anachofanya Magufuli sasa hivi, hakika ameonesha madudu mengi sana yalifanyika kipindi cha utawa uliopita.
Ninaamini pale bandarini na tra kuna watu wa usalama wa taifa, na waliona makontena yakipotea bila kusema neno, au walisema kwa wakubwa wao kuhusu makontena hayo, sasa kwa nini hii idara isisafishwe na Magufuli ili kuwaondoa watu hao, hawakutekeleza wajibu wao ipasavyo, kodi nyingi ilipotea.
Wapo wanaoishi kama vigogo wa TRA wana utajiri uliopitiliza. Washughulikiwe haraka.

We mwenyewe unaetoa haya maoni wameshakujua
Lol!
 
ukabila na undugu ktk ajira za usalama wa taifa ni shiida, mara nyingi watoto wa kota za usalama wa taifa ndio wanapata huko kazi kirahisi na au bosi akiwa wa kabila fulani basi hilo kabila ndio wanajaa huko.
 
Hiki kifungo ni cha kimagumashi sana. Magufuli hebu liangalie Hiki jipu kwa wakati muafaka wa 09.12.2015 siku ya uhuru.
 
Chiz ww tena ngekuwa mm ngemuongezea adhabu huyo mzee na mwanaee. Kubaka na kurawiti watoto wakujua au wakusikia? Ukute ndo nyie nyeie mapuuuuu ngaaaa mliobaakk mjin hapa mnawataka wateja wenu uraian
 
Acheni mbwembwe. Babu asiejua mazingira ya kesi ya babu seya?

Anayajua lowassa tu ndio mana katika sera za ukawa wamelizungumzia kwa mapana na marefu jinsi watakavyo mtoa jela.magufuli yupo bize na mafisadi mnataka aachie walawiti,bavicha mna matatizo sana
 
Hata kumuita mr. President naona ukakasi.
1. Yawezekana hajui kaingiaje pale maana hapendi kujihusisha na uovu
2. Walokuwa wanamsuport ndo wanajua a-z mabox yalivyokuwa yanaingizwa kinyemela.
3. Namheshimu ila chama chake naomba siku moja kiumbuke

Vijana mnasafari ndefu sana kufikia ukombozi wenu kifikra, mtazamo na kujitambua ninyi ni kina nani na thamani yenu ndani ya nchi yenu.
 
Hivi wazazi wa hao watoto wapo wapi? Hata kale kabinti kalikomsumbua Kapuya nasikia nako kalikuwa mmoja wa mashahidi. Tanzania bwana!!
 
Habari wadau,

Baada ya serikali kutaka kutoe bei elekezi katika elimu, naomba pia itoe bei elekezi kwa usafiri wa ndege ndani ya nchi kwani wanaopanda ni watu wa kipato cha kati na juu tuu.
 
Izo balozi zipo haswa kwa ajili ya kupiga hela,mfano mdogo ubalozi wetu Pretoria pale Mtanzania akitaka hati ya dharula kwa kupoteza Passport yake inamulazimu kulipia rand 1000 na wanataka kupandisha iyo hati kupata ni kama tsh 170,000 sasa kinachofanyika kwa kuwa ni biashara Warundi,wacongo na Wanyarwanda ambao wanataka kutoka South Africa wanaenda kununua iyo Hati ya kusafiria bila shida..
 
Habari wadau baada ya serikali kutaka kutoe bei elekezi katika elimu, naomba pia itoe bei elekezi kwa usafiri wa ndege ndani ya nchi kwani wanaopanda ni watu wa kipato cha kati na juu tuu

Wee k.enge kweli.... ulijua bei za nauli ya ndege ziko kiholela...? Tatizo lako ww 🐗🐗 hujui hata nn kinaendelea ktk nauli za ndege...!!

Air fares is strictly monitored and given by IATA... to all Airlines around the world... with sub-auditing committee called IOSA to strictly make oversight on Air fares...

In General Aviation, we have TCAA, in Tz that monitored air fares very closely....

Ww ulijua biashara ya ndege inafanywa k.isenge kama ilivyo shule zenu za kinyumbu za private...

Na hizo shule za private ww ndio product yake... unawaza u 🐗🐗 tu..
Swine..!! Udhania ndege ni Private schools... mmaaaninaaa wee
 
Unge elimisha tu paspo kutukana
 
Wee k.enge kweli.... ulijua bei za nauli ya ndege ziko kiholela...? Tatizo lako ww ���� hujui hata nn kinaendelea ktk nauli za ndege...!!

Air fares is strictly monitored and given by IATA... to all Airlines around the world... with sub-auditing committee called IOSA to strictly make oversight on Air fares...

In General Aviation, we have TCAA, in Tz that monitored air fares very closely....

Ww ulijua biashara ya ndege inafanywa k.isenge kama ilivyo shule zenu za kinyumbu za private...

Na hizo shule za private ww ndio product yake... unawaza u ���� tu..
Swine..!! Udhania ndege ni Private schools... mmaaaninaaa wee

Jamani tutumie lugha za Kistaarabu kidogo.Na si mashirika yote ya ndege ni wanachama wa IATA kwa taarifa yako.Fastjet kwa mfano si mwanachama wa IATA ndiyo maana ukichelewa ndege zao TIKETI "imekufa" wakati ATCL na Precision ni wanachama wa IATA.Hawa hata ndege zao zikikuacha huna pressure,utapanda ndge inayofuata.Zile "low price" carriers nyingi si wanachama wa IATA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom