Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nao TAKUKURU wasafishwe, lakini kwa ulichosema hapo juu ndio kazi inafanyika. Nilicosema ni kuwa sio jana yalipotea hayo makontena, ni muda mrefu, kwa nini hatua hazikuchukuliwa, usalama walifanya kazi yao ipasavyo? Kama ndio tutaaminije kuwa walifanya kazi ya kuzuia huu ukwepaji kodi.Usalama wa Taifa wamefanya kazi yao ndio maana madudu haya yameonekana ,tatizo hapa ni TAKUKURU hivi hawa jamaa kazi yao ni kukama mahakimu wa mahakama ya mwanzo na maafisa watendaji wa kata .
Elimu yako ndogo ndio inayokutoa povuWee k.enge kweli.... ulijua bei za nauli ya ndege ziko kiholela...? Tatizo lako ww  hujui hata nn kinaendelea ktk nauli za ndege...!!
Air fares is strictly monitored and given by IATA... to all Airlines around the world... with sub-auditing committee called IOSA to strictly make oversight on Air fares...
In General Aviation, we have TCAA, in Tz that monitored air fares very closely....
Ww ulijua biashara ya ndege inafanywa k.isenge kama ilivyo shule zenu za kinyumbu za private...
Na hizo shule za private ww ndio product yake... unawaza u  tu..
Swine..!! Udhania ndege ni Private schools... mmaaaninaaa wee
Sio waondolewe, wawajibishwe waliokuwa kwenye hiyo idara, bandarini na tra. Maana inawezekana nao walikula fwezaUkiwaondoa usalama wa Taifa halafu watakua wanafanya kazi Wapi?
Nasikia atashusha na bei ya vyakula mahotelini na kuweka bei elekezi.. hii nchi ina vituko sana
Tatizo lao ndio hilo, ndugu wengi na ukabila, wangeiga nchi za ulaya na marekani, elite watu kutoka sehemu mbalimbali ndio waajiriwe sio watu wa kotaukabila na undugu ktk ajira za usalama wa taifa ni shiida, mara nyingi watoto wa kota za usalama wa taifa ndio wanapata huko kazi kirahisi na au bosi akiwa wa kabila fulani basi hilo kabila ndio wanajaa huko.
Kuna ubaya nikitoa maoni, najua wameshanijua lakini katiba inasema ibara ya 18. Kila mtu anao uhuru wa kuwa na maoni na kueleza fikra zake,We mwenyewe unaetoa haya maoni wameshakujua
Lol!
Kama ni hivyo hapo sawa, hakuna la kufanya, maana naamini hata wale twiga kupanda ndege taarifa ilitolewaninachokiamini mimi, usalama walitoa taarifa, ila wamsoga nahisi hakutilia maanani, ila JPM ndo ametilia maanan
eti leo unasimama kujitapa umewafukuza kazi maofisa 7 kutokana na ubadhirifu, swali siku zote ulikua wapi hadi uone MAJIPU YANATUNGULIWA?..
Kuna unaloficha ila jipo lako linatumbuliwa tena lipo jichoni mda si mrefu bz hata wewe ni walewale, pia hakuna shirika bovu kama tanesco, wewe hadi CUSTOMER CARE unajaza WAHANDISI mbinu za mabadiliko kwenye shirika hawana wapo kidilidili tu
Niliomba umeme toka mwaka jana hadi leo holaaa
jamaa amejistukia sana muda wote huo tenesco limekuwa shamba la bibi uwozo ,, leo hii nae et anajitutumua kutoa kauli