Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Alikuwa wapi asiwajibike siku zote plz mh rais muajibishe kwanza yeye anatafuta pazia la kujifichia ili asiumbuliwe tanesco kumeoza tanzania ni nchi yetu msiyageuze mashirika ya umma shamba la bibi...I HATE HYPOCRITES!
 
Na yeye anawatolea macho wengine wakati huo yeye ni mmoja wa wauza nyumba za serikali na zingine kuwagawia VIMADA ndio mahana mke wake hamtaki.


swissme
 
Usalama wa Taifa wamefanya kazi yao ndio maana madudu haya yameonekana ,tatizo hapa ni TAKUKURU hivi hawa jamaa kazi yao ni kukama mahakimu wa mahakama ya mwanzo na maafisa watendaji wa kata .
Nao TAKUKURU wasafishwe, lakini kwa ulichosema hapo juu ndio kazi inafanyika. Nilicosema ni kuwa sio jana yalipotea hayo makontena, ni muda mrefu, kwa nini hatua hazikuchukuliwa, usalama walifanya kazi yao ipasavyo? Kama ndio tutaaminije kuwa walifanya kazi ya kuzuia huu ukwepaji kodi.
 
Nasikia atashusha na bei ya vyakula mahotelini na kuweka bei elekezi.. hii nchi ina vituko sana
 
Wee k.enge kweli.... ulijua bei za nauli ya ndege ziko kiholela...? Tatizo lako ww  hujui hata nn kinaendelea ktk nauli za ndege...!!

Air fares is strictly monitored and given by IATA... to all Airlines around the world... with sub-auditing committee called IOSA to strictly make oversight on Air fares...

In General Aviation, we have TCAA, in Tz that monitored air fares very closely....

Ww ulijua biashara ya ndege inafanywa k.isenge kama ilivyo shule zenu za kinyumbu za private...

Na hizo shule za private ww ndio product yake... unawaza u  tu..
Swine..!! Udhania ndege ni Private schools... mmaaaninaaa wee
Elimu yako ndogo ndio inayokutoa povu
 
Anajitekenya mwenyewe na kucheka Mramba,subiria wakati wako muafaka na hapo ni kama wamkumbusha kuwa bado wewe kwa maigizo yako hayo.
 
ukabila na undugu ktk ajira za usalama wa taifa ni shiida, mara nyingi watoto wa kota za usalama wa taifa ndio wanapata huko kazi kirahisi na au bosi akiwa wa kabila fulani basi hilo kabila ndio wanajaa huko.
Tatizo lao ndio hilo, ndugu wengi na ukabila, wangeiga nchi za ulaya na marekani, elite watu kutoka sehemu mbalimbali ndio waajiriwe sio watu wa kota
 
Viatu,mlamba wako ameujua ukweli Leo,na uozo wa tanesco wa miaka yote hiyo????aache unafiki,hata kama amekutuma mwambie atumie gia nyingine
 
We mwenyewe unaetoa haya maoni wameshakujua
Lol!
Kuna ubaya nikitoa maoni, najua wameshanijua lakini katiba inasema ibara ya 18. Kila mtu anao uhuru wa kuwa na maoni na kueleza fikra zake,
c. Kila mtu anao uhuru wa kufanya mawasiliano na haki ya kutoingiliwa katika mawasiliano yake
ni katika kuboresha mifumo ndio tunatoa mawazo yetu. Kwani hakuna makontena yaliyopotea?
Toka yamepotea lini tumepata taarifa?
Kama walifanya kazi yao wakaripoti hapo sawa maana mchukua hatua ni mwingine, lakini kama hawakutoa taarifa nao washughulikiwe kama kina masamaki
 
NGUMU KIDOGO KUELEWA HII NCHI ANAPOKUFA MTU BAKI WANAFANYA WAWEZAYO..AKIULIWA MTOTO WA MKUBWA AMA NDUGU ANATAFUTWA MHUSIKA MPAKA.ANAIONA SEGEREAA..

TULIKUWA NAKESI YA MAUWAJI LIVE inayomhusu.. MTOTO WA TATU NTIMIZI IMEISHIA WAPI NA MHUSIKA YUKO NJE YA MAHAKAMA...NI MAHAKAMA ZA TANZANIA TU MUUWAJI UNAMKUTA ANAAGIZA HEINEKEN NA NYAMA CHOMA

KUJAKWAKO EMBU BADILI MAJAJI WA DAR PELEKA MKOANI WA MKOA WAJE DAR WENGI WAMEZoeA.OFISISANAA..TUNAIMAN NA WEWE UTUJULISHE.
 
ninachokiamini mimi, usalama walitoa taarifa, ila wamsoga nahisi hakutilia maanani, ila JPM ndo ametilia maanan
Kama ni hivyo hapo sawa, hakuna la kufanya, maana naamini hata wale twiga kupanda ndege taarifa ilitolewa
 
eti leo unasimama kujitapa umewafukuza kazi maofisa 7 kutokana na ubadhirifu, swali siku zote ulikua wapi hadi uone MAJIPU YANATUNGULIWA?..
Kuna unaloficha ila jipo lako linatumbuliwa tena lipo jichoni mda si mrefu bz hata wewe ni walewale, pia hakuna shirika bovu kama tanesco, wewe hadi CUSTOMER CARE unajaza WAHANDISI mbinu za mabadiliko kwenye shirika hawana wapo kidilidili tu

Acha wivu wa kike, akifanya kazi mnalalamika watanzania hamna jema.

Majungu mmegeuza kuwa mtaji... Pia sio lazima uandike jamii forum ndio uonekane una exist.
 
Customer care mbovu ajabu, nimeenda pale nawakuta wadada wana WhatsAppIka na kuchagua sidiria (bras), eti anauliza namba ya mita iko wapi kwenye karatasi ya LUKU? Serious! Customer care wa TANESCO hajui ile karatasi imepangiliwa vipi.
Shida iliyonipeleka ni kuchukua namba ya ku unblock mita, ambayo ni pure electronic process, nikauliza hii process ingehitaji just a phone call, kuliko kupoteza muda kujuzana kwa foleni, kama twaweza kununua LUKU kwa simu why not getting this number? Jibu:Hivi ndivyo ilivyo.
Nje wameandika (on their website too )masaa ya kazi ni kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 10 jioni, nimefika pale saa 7 mchana naambiwa ni lunch time, I had to wait until 2pm, hawajasema kwamba kuna break saa ngapi wala nini.
 
Niliomba umeme toka mwaka jana hadi leo holaaa

Uliomba umeme toka mwaka jana upo eneo gani? Malalamiko Kama hayo Mramba akiyapata huwa anayafanyia kazi.

Ukilalamika JF utakuwa umesaidia nini badala ya wateja wa TANESCO tusaidie kutoa taarifa kwa uongozi wa Shitika.

Mfano kuombwa rushwa na usumbufu mwingine ambao unaweza kuupata.

Nashauri tushirikiane na Uongozi wa TANESCO kufichua maovu badala ya kulalamika JF
 
jamaa amejistukia sana muda wote huo tenesco limekuwa shamba la bibi uwozo ,, leo hii nae et anajitutumua kutoa kauli

TANESCO imeharibiwa na wanasiasa toka kipindi cha nyuma, wanasiasa ndio wamekuwa wakiitumia kufanya ufisadi wao.

Mkurugenzi wa TANESCO hausiki hata kwa namna moja ama nyingine, kwanza Mramba ni mlolole na anahofu sana ya Mungu, pili ni Mtendaji sana, Shirika lilipotoka sio sawa na lilipo kwa wakati huu na anaendelea na maboresho ikiwa ni pamoja na ya miundo mbinu.

Kunahaja ya wanadiasa kuiacha TANESCO ifanye kazi bila kuingiliwa.

Hata ukiangalia ufisadi uliotokea mf Richmond hakuna kiongozi wa TANESCO aliye shiriki.

Tumpe ushirikiano Mramba afanye kazi tuache majungu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom