Huyu mama alinifanyia mbaya 2012 lakini sijali daima namuona kuwa ndiye iron lady wa bongo hakunaga shujaa mpambanaji wa Elimu kama huyu!
Magufuli kama unasoma maoni hili jema lipokee!
watu wa karibu na magufuli mkamwambie kuwa wizara ya elimu inahitaji moyo wa chuma
Ponda yuko nje anakusanya agenda
Waislam tutajuta umesahau yale matokeo ya mtihani ule alitufanya mini?
Huyo NECTA ilimshinda...ataiweza wizara? Tutolee utani hapa.
Ahaaaa " Aba Nte olinya"
siyo kweli uyu mama akukubali upuuzi wa kualibu elimu akaamua akae pembeni
Huyo NECTA ilimshinda...ataiweza wizara? Tutolee utani hapa.
Another "Mujahidin" .Eti Waikristo wanaongezewa marks na NECTA. Ponda followers
Hata mimi huyu mama nina mkubali.Ni maoni YANGU kama mdau WA ELIMU pia katiba ya nchi 1984 inaniruhusu kutoa MAWAZO YANGU KWA rais wangu. Wizara ya ELIMU inahitaji MTU aliye makini na msomi, pia awe angalau anafahamu changamoto zake.
Kwa heshima na utii ningeomba umrejeshe Mama Ndalichako ama awe katibu mkuu WA Wizara ya ELIMU au umpe UBUNGE kisha awe waziri WA ELIMU.
Wizara ya fedha ukamate mwenyewe, waziri mkuu akamate Utalii, nchi itatoka hapa tulipo.
Ni maoni YANGU kama mdau WA ELIMU pia katiba ya nchi 1984 inaniruhusu kutoa MAWAZO YANGU KWA rais wangu. Wizara ya ELIMU inahitaji MTU aliye makini na msomi, pia awe angalau anafahamu changamoto zake.
Kwa heshima na utii ningeomba umrejeshe Mama Ndalichako ama awe katibu mkuu WA Wizara ya ELIMU au umpe UBUNGE kisha awe waziri WA ELIMU.
Wizara ya fedha ukamate mwenyewe, waziri mkuu akamate Utalii, nchi itatoka hapa tulipo.
ni mtu wa kigomaUwenda ni wa kigoma..pia kuna ndugu yake ni lecturer saut
Huyu system haimtaki hata kidogo, aligoma kushusha viwango vya ufaulu
System ikamuona sio mwenzao, kumbuka systema ndiyo inaamua nani awepo na nani asiwepo na sio magu