Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.

Hopefully unamaanisha ndg ludovic utooh huyu jamaa ni kichwa sana na alikua hataki kupelekwa peleka, ma auditors na wahasibu aliwapigania sana. Naunga mkono hoja mkuu wangu
 
NOOOOO.
Weka mbali na ofisi za umma huyo mama.
alivurunda bigtime Necta.
 
Jibiidishe kusoma siyo kutafuta huruma. Don't waste your time ni Madrasul

Usiseme 'madrasul' bali sema 'chuo'! Wana-graduate chuo before primary & secondary education. Wanafaulu chuo but wanafeli sekondari then wana-transfer lawama kwa mama Ndalichako. Horrendous!
 
Chagua moja ucheze cha ndimu au upige shule.hata kwenye mchele pumba au chuya haziji kimakosa.ndo maana kuna ungo.unalo.
 
Hatutaki wabaguzi wa kiimani serkalini! Huyu mama alitolewa kwa sababu za kubagua wanafunzi wa kiislam kwenye usahihishaji mitihani ya taifa. Hatutaki,taifa limejaa wasomi wengi wenye weledi hatutaki wabaguzi.

Evidence? Yeye alikuwa anasahihisha mitihani au mkuu wa necta?
 
Usiseme 'madrasul' bali sema 'chuo'! Wana-graduate chuo before primary & secondary education. Wanafaulu chuo but wanafeli sekondari then wana-transfer lawama kwa mama Ndalichako. Horrendous!

kweli wao hukiita" college" thanks mkuu
 

Ameshindwa baraza la mitihani itaweza wizara
 
Huwa siwaelewi watu wanaomponda mama ndalichako .

Huyo mama kafanya kazi kubwa sana na kwa miaka mingi.

Chini yake angalau Elimu ilikuwa ina thamani .

Tangu ameondoka pale necta ni vurugu tu zimejaa pale

Na wale wa dini ile acheni mawaso potofu shule zenu nq watoto wenu muwakazie kusoma kwa bidii .

Sio kuwaza upendeleo kila siku

Ova and out.
 
Kweli huyu mwanamke mwenzangu namkubali sana. Anafaaa sana kwenye wizara ya elimu kutokana na msimamo alionesha pindi viongozi walipoingiza siasa kwenye mfumo wa elimu. Niliumia sana walipomuondoa.
 

Pole, hata mimi alinikosakosa.
 
Issue ya waislamu alitolea ufafanuzi mzuri kwa mtu aliyefatilia sakata hilo. Huyu mama ni mtendaji aliyesaidia hata kupunguza vyeti fake pale NECTA.
 
Jibiidishe kusoma siyo kutafuta huruma. Don't waste your time ni Madrasul

acha upumbavu wewe nani asiyejua upuuzi aliokua anaufanya ndalichako?mna akili gani nyie mbona class tulikua tunapambana kwa level sawa ila kwa kua jina lako ni jackson na mimi ni abdallah basi nimeumia yaani jina langu ndio kufeli kwangu,namchukia huyo mwanamke kuliko shetani
 
mwislamu wakweli hawi mwongo ka wewe
Unatofauti gani na khafili???
wengi hatukuwa waislamu lakini cha moto tulikiona

kaa kimya kafili now waislam wanapumua matokeo yanaonekana mmeanza kuumia mashetan utawajua tu,huyo mama kama mnampenda mpeni uaskofu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…