Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe kuna vitoto humu?huna unachojua ukijaaliwa kukua uje tena nikuelekeze mambo yalivyokua necta
Mama Ndalichako hataki siasa kwenye facts,kwa falsafa ya hapa ni kazi tu,ndalichako anafaa sana.
aisee huyu mama afikiriwe ni kichwa haswaa
Sasa na nyie! Yaani mtu unategemea somo la islamic knowledge likuinulie credit, baada ya kufeli maths na physics!Waislam tutajuta umesahau yale matokeo ya mtihani ule alitufanya mini?
wewe umueleweshe nani kwa mfano?huna unalojua nakuambia hivi kama unampenda sana yule bibi oa
Sistimu ya Alhaj MkwerrreHuyu system haimtaki hata kidogo, aligoma kushusha viwango vya ufaulu
System ikamuona sio mwenzao, kumbuka systema ndiyo inaamua nani awepo na nani asiwepo na sio magu
Sasa na nyie! Yaani mtu unategemea somo la islamic knowledge likuinulie credit, baada ya kufeli maths na physics!
Huyu mama alinibania sana nisipate dv one form6. Apewe wizara nyingine.
hujui unachoandika
Hatutaki wabaguzi wa kiimani serkalini! Huyu mama alitolewa kwa sababu za kubagua wanafunzi wa kiislam kwenye usahihishaji mitihani ya taifa. Hatutaki,taifa limejaa wasomi wengi wenye weledi hatutaki wabaguzi.
Hatutaki wabaguzi wa kiimani serkalini! Huyu mama alitolewa kwa sababu za kubagua wanafunzi wa kiislam kwenye usahihishaji mitihani ya taifa. Hatutaki,taifa limejaa wasomi wengi wenye weledi hatutaki wabaguzi.
Mi mwenyewe naweza kukufundisha ili utoe fikira potofu. Everything you use to compline you guys.
Tukana sana ila mzee akipata atamuweka. Sijui utakimbilia wapi kamtihani kako kakiislamu ulidhani katakutoa vumbi sana. Tatizo uelewa wenu huwa ni mdogo sana. Kakojoe ulale huna la maana kazi kupakazia udini.
uelewa wenu mdogo..akina nani?
Eti tulikatwa maksi kwa ufaulu upi wa maana mnao upata zaidi ya kujifunza kuandika kiarabu ili uonekane mjanja kumbe ufala. Tupa kule vumbi hizi zilizoshituka leo kuwa elimu dunia ni ya muhimu. Kuchelewa kwenu kusiwe kero kwetu eti joyce aliwabagua. Hamjiulizi islamic wanapata mikopo mara mbili sisi hatusemi ila kosa lilotokea kwenye kugawa tena kasomo ambako hakukusaidi kukupa credit kwa mfumo wa elimu yetu mnaanza kutoa maneno mabovu. Mnakera sana
Wewe ulikuwa kilaza darasani alafu unaleta mambo ya kijinga humu. Mimi na wenzangu wengi tu tulifanya mtihani form four chini ya utawala wa ndalichako na tukiwa na majina Athumani, Isiaka, Issa, Hussein na ndo tuliofanya vizuri sana