Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Utaelewa tu compline au complain ndo msingi wa kuiba mtihani kama wapenda vya bure.

anaependa vya bure nani kati ya nyie na wale?..anaepewa zaid nusu ya bajet ya bajet ya wizara ya afya kuendesha hospitali zake nani?
 
hao walijenga shule miaka ya 60 na wakataka kujenga chuo kikuu pale chang'ombe kabla sie hatujawa hata na chuo kimoja,ila baba wa taifa akaivuruga taasisi yao iliyotaka kujenga,halafu kumbuka wizara ya elimu tumeishika sie hadi mwaka 1988,tena waziri mmoja alikua padri,tukawa tunafaulu sisi tu

Ni mtazamo wako tu. Nimesoma na waislamu chuoni je hao walipitaje huko necta. Mambo mengine kupandikizwa tu tena hayana maana katika jamii.
 
Hivi unapofanya mtihani wa taifa huwa unaandika jina lako au namba ili kujua huyu mkristo au muislam? Unafikiri mtihani wa dini unakusaidia kuchaguliwa kwenda high level au inahusishwa kwa cut point ya kwenda Chuo kwa mfumo wa elimu ya Tanzania. Chukia mtu kwa hoja ya msingi sio udini.

kwa nini alama za mtihani uzigawe kwa tatu badala ya mbili kama utaratibu unaousimamia unavotaka?
 
Takwimu ya walioingia chuoni 2006 udsm ilikuwaje kwa upande wa udini. Afu mnatuletea story za ajabu. Nenda udom udini hupo wazi kwa wafanyakazi wanaoajiliwa.
 
Ni mtazamo wako tu. Nimesoma na waislamu chuoni je hao walipitaje huko necta. Mambo mengine kupandikizwa tu tena hayana maana katika jamii.

hata afrika kusini ya kaburu palikua na maofisa weusi,ila ubaguzi wa rangi ulikuwepo,hao wachache walptishwa kwa ajili ya kufumba watu wenye akili nyepesi kama zako
 
Ni maoni YANGU kama mdau WA ELIMU pia katiba ya nchi 1977 ibara ya 18(a) inaniruhusu kutoa MAWAZO YANGU KWA rais wangu. Wizara ya ELIMU inahitaji MTU aliye makini na msomi, pia awe angalau anafahamu changamoto zake.

Kwa heshima na utii ningeomba umrejeshe Mama Ndalichako ama awe katibu mkuu WA Wizara ya ELIMU au umpe UBUNGE kisha awe waziri WA ELIMU.

Wizara ya fedha ukamate mwenyewe, waziri mkuu akamate Utalii, nchi itatoka hapa tulipo.

Naunga mkono hoja!!!! Nashangaa leo tu gpa olevo!!! Bora mama arudi.
 
kwa nini alama za mtihani uzigawe kwa tatu badala ya mbili kama utaratibu unaousimamia unavotaka?

Mfumo wa zamani ulikuwa ni kugawa mara tatu na system ilikuwa haijabadilishwa. Kosa lililotokea ni la kiufundi tena kwa somo lenu hilo. Basi mkadai masomo yote. Hivi unafahamu utaratibu wa kusahihisha mitihani. Huwa kuna vituo vingapi vya kusahihisha. Namna ya kuunganisha matokeo au unasema tu. Je huo mtihani wenu unawasaidia kuwaongezea credit eeh sema na sisi tudai maake hatuonagi kwa upande wetu.
 
hata afrika kusini ya kaburu palikua na maofisa weusi,ila ubaguzi wa rangi ulikuwepo,hao wachache walptishwa kwa ajili ya kufumba watu wenye akili nyepesi kama zako

Ndo umefika mwisho hata mohamad wako akija atakukana
 
nakuunga mkono mama anauwezo uliza mtu yeyote aliye wahi kwenda kusahisha mtihani wa taifa wakati wa uongozi wake. hakukuwa na masihara na pia kuwa necta anaijua elimu yetu vizuri kuanzia msingi hadi a level kupitia majukumu yake pale necta. Elimu ya chuo nayo anaijua vizuri kwa kuwa muhadhiri
ANAFAA SANAKAMA HATUTAKI SIASA KWENYE ELIMU
 
nimekurupuka kama nguruwe wako alie kwenye siku zake huko nyuma bandani?

Aliyekuzaa ni nguruwe unashangaa nini hata uliyenaye nguruwe wewe utashindwa kuwa nguruwe tena pori. Hacha sindano ikuingie vizuri alshabab wewe.
 
Aliyekuzaa ni nguruwe unashangaa nini hata uliyenaye nguruwe wewe utashindwa kuwa nguruwe tena pori. Hacha sindano ikuingie vizuri alshabab wewe.

empty head...!!merely scum,knowing nothing than food and sleep
 
Mfumo wa zamani ulikuwa ni kugawa mara tatu na system ilikuwa haijabadilishwa. Kosa lililotokea ni la kiufundi tena kwa somo lenu hilo. Basi mkadai masomo yote. Hivi unafahamu utaratibu wa kusahihisha mitihani. Huwa kuna vituo vingapi vya kusahihisha. Namna ya kuunganisha matokeo au unasema tu. Je huo mtihani wenu unawasaidia kuwaongezea credit eeh sema na sisi tudai maake hatuonagi kwa upande wetu.

kwa nini kwenye somo hilo tu?
 
Utaelewa tu. Joyce Ndalichako ndo habari ya mjini hutaki rudisha vyeti vyenye sahihi yake.

bahati mbaya kwako mie sijasoma kipindi cha ndalichako..sikujua kama najadili na toto la juzi,tuition zimekuharibu wewe,kichwa yako vivu ya kufikiri
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom