Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Huwa wanaelewa hawa!? Hawa hata uwaeleweshe uchi hawaelewi, wamekaririshwa madrassa na mashekh wao baaasi

unataka kusema nchi nzima hakuna mtu ila ndalichako?nguruwe mbaya sana kwa ustawi wa akili
 
Waislamu wanataman sana kula nguruwe lakini ndiyo hivyo tena. Pia uelewe kuwa na wake wengi kunaongeza umaskini wa kipato na akili
 
Kama kuna vitu now vinanikera ni mfumo wa elimu ya upili nchini mwetu.

Yaani wamediriki hata kushusha marks ili kuongeza ufaulu?, afu eto wanaita BRN, na mijitu humu ndani inashabikia eti afadhali katoka saiz hata sisi tunafaulu.

Hivi mpumbavu gan anaweza kuweka kosa kwenye jibu sahihi, eti jibu ni 2.5 na ww umeandika hilo hilo halafu akakuwekea kosa eti kwa sababu ya dini? sio kweli.

Btw mtihan hauandikwi jina unaandikwa namba, inakuaje mtu ulalamike eti anapendela namba za watu wa dini flan, hizo namba zina alama?

Halafu yeye alikua ni mkuu wa NECTA tu sko msahihishaji wa mitihani, hao walimu wanaosahihishaga mitihan ni wa dini moja tu, km ni wa dini zote najua wanapendeleaje watahiniwa wa dini moja???

Naunga mkono huyu mama apewe wizara hii iliyooza na marks za ufaulu za zaman zirudishwe.
 
kwani mfumo ukirudishwa lazimana huyo bibi arudi?toa upuuzi wako tengenezen wizara kanisani kwenu mumchukue atawasaidia
 
Hauna ushahidi na hicho unachoandika.

Unaweza tu kuendelea kuandika hivyo kama unaandika na kuweka ushahidi!!!

By the way, kuna watu wenye uelewa mkubwa ambao wanatumia nafasi zao kupotosha wengine, na hawa wanaopotoshwa kwa kuambiwa mambo ya uongo yenye lengo la kuleta chuki, wanayameza hayo bila ushahidi wowote.

Ukweli utakuweka huru.

Soma hapa tamko la waziri wa Elimu (ambaye ni muislamu)
attachment.php
 
ukitaka kujua kina cha maji zama ndani we unakuja na vi fact vyako vya juujuuu,ingia ndani uone uozo wa huyo bibi ni hatari sana
 
Huyu mama kichwa sana sema tu "Mujahidin hawakumuelewa" Na serikali ilokuwepo ililazimisha kubadili marks akachomoa basi wakamtema
Ukweli haujifichi elimu imezikwa.

Majahidin walikuwa wanataka mtu akiwa na div five awe amefaulu mama akachomoa .. Wakaanza maneo kuwa wanabaguliwa hafi mama akahamishwa
 
ukitaka kujua kina cha maji zama ndani we unakuja na vi fact vyako vya juujuuu,ingia ndani uone uozo wa huyo bibi ni hatari sana
Ninamfahamu vizuri sana, nimefanya naye kazi.

Sina ushahidi wowote wa kuridhisha kuwa ana uozo uusemao. Zaidi nasikia watu kama wewe wakisema bila ushahidi.

Kikwete alitwambia akili ya kuambiwa changanya na ya kwako. Mimi hayo ninayoyasikia kwenu natafuta ushahidi wake bado siupati, ukinipatia nitashukuru sana.

Naomba ushahidi tafadhali. Pia soma hilo bandiko la Ustaadh Shukuru Kawambwa, kisha comment...
 
Waislamu wanataman sana kula nguruwe lakini ndiyo hivyo tena. Pia uelewe kuwa na wake wengi kunaongeza umaskini wa kipato na akili

Wanakula sana mbona kipindi cha mfungo wao biashara ya kitimoto dar udorora sana. Yaani hawa kwa udini kwa kiasi fulani naweza kumuunga mkono mgombea wa republican- marekani aliyewachana live bila chenga.
 
zile shule za st nani ndio zinaumia haswa yule bibi mchungaji(ndalichak) kaiba sana pepa nakumbuka wakati niko kahama mambo hayo yalikua kawaida pepa inakuja inasoviwa matokeo yakija st fulan zinaongoza
 
Kwa taarifa yako, hakuna Katibu Mtendaji wa NECTA aliyedhibiti wizi/uvujaji wa mitihani kama Dr. Ndalichako.

Hili hata wanaomsema kwa mengine wanakiri.

Fanya utafiti kabla ya kuongelea jambo, ukija kuongea uje na ushahidi usio na shaka.

Hapa unaleta habari za uongo zisizo na uthibitisho. Hebu tutajie hizo shule zilizokuwa zinafaidika, kisha tuwekee matokeo ya shule hizo hizo baada ya Dr. Ndalichako kuondoka.

Pia tuwekee majina na matokeo ya shule zilizokuwa zinadhulumiwa, na kisha tuwekee matokeo ya shule hizo hizo baada ya Dr. Ndalichako kuondoka.

Naapa huwezi kuja na kitu hicho, kwa kuwa facts zote zinapingana na uongeacho.
 
MWEZI mmoja tangu Rais John Magufuli, amefanya mambo mengi ambayo yamefufua matumaini ya Watanzania na kuibua mjadala sehemu mbalimbali barani Afrika na duniani kwa ujumla.

Hili si jambo la kushangaza hasa ukizingatia kuwa katika mwezi mmoja tu wa kuwa madarakani, amefanya mambo mengi ambayo hata waliokuwa na imani naye hawakutarajia kama angeweza kufanya kazi ya namna hii.

Katikati ya matumaini haya ni muhimu kuutambua ukweli kwamba anachohitaji Rais Magufuli sasa hivi siyo kushangiliwa na kubebeshwa sifa zisizo na idadi, bali anahitaji kuungwa mkono. Vita anayopigana ni ngumu na iko katika hatua za awali tu. Mafanikio yake yanategemea sana wananchi wanamuunga mkono kwa kiwango gani.

Anahitaji kuungwa mkono na Watanzania kwa kukubali kwanza wenyewe kubadilika. Hatua ya kwanza ya kumuunga mkono ni kwa mtu kukubali kuchapa kazi kwa bidii popote alipo, ni muhimu na lazima tuondokane na dhana kwamba, umasikini wetu unasababishwa na wengine.

Kama wananchi wanakubaliana na kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kuleta mabadiliko ya kweli kwa taifa, asiungwe mkono kwa kupewa sifa na mazungumzo vijweni, muhimu sana aungwe mkono kwa watu kubadili fikra zao kwanza kwa kuanza kuiona rushwa kuwa adui wa haki na maendeleo. Haitakuwa na maana sana kama Watanzania wataimba sifa nzuri za Rais wakati ndani, nafsi na matendo yao yanakwenda kinyume na mapambano dhidi ya ufisadi, sambamba na uchapaji kazi.

Tumuunge mkono kwa kuanza kuchukua hatua za kuichukia na kuikataa rushwa na kufanya kazi kwa bidii. Wakati wa uhuru Mwalimu Nyerere alisema uhuru ni kazi, akimaanisha bila kufanya kazi kwa bidii uhuru utakuwa hatarini, vivyo hivyo leo, bila kufanya kazi kwa bidii matumaini ya mabadiliko ya kweli yanaweza kubaki ndoto. Inawezekana timiza wajibu wako.

Raia Mwema
 
Kwa taarifa yako, hakuna Katibu Mtendaji wa NECTA aliyedhibiti wizi/uvujaji wa mitihani kama Dr. Ndalichako.

Hili hata wanaomsema kwa mengine wanakiri.

Fanya utafiti kabla ya kuongelea jambo, ukija kuongea uje na ushahidi usio na shaka.

Hapa unaleta habari za uongo zisizo na uthibitisho. Hebu tutajie hizo shule zilizokuwa zinafaidika, kisha tuwekee matokeo ya shule hizo hizo baada ya Dr. Ndalichako kuondoka.

Pia tuwekee majina na matokeo ya shule zilizokuwa zinadhulumiwa, na kisha tuwekee matokeo ya shule hizo hizo baada ya Dr. Ndalichako kuondoka.

Naapa huwezi kuja na kitu hicho, kwa kuwa facts zote zinapingana na uongeacho.

hahahaha we uko shimo gani kiongozi mbona vitu hivyo viko wazi siwezi kukulisha kila kitu nenda Google angali zile st zilizokua zinaongoza miaka ile na sasa then angalia idadi ya waislam wanavyoperform sasa hivi mbona kitu inaeleweka vizuri tu.
 
Acha dharau hiyo dogo, Waislam wangapi tumesoma na tuna elimu nzito ya kutisha katika nchi hii na wakati huohuo tumesoma madrassa. Usidharau dini za watu na ukadhani kuwa Waislam wote ni vilaza

Jibiidishe kusoma siyo kutafuta huruma. Don't waste your time ni Madrasul
 
hahahaha we uko shimo gani kiongozi mbona vitu hivyo viko wazi siwezi kukulisha kila kitu nenda Google angali zile st zilizokua zinaongoza miaka ile na sasa then angalia idadi ya waislam wanavyoperform sasa hivi mbona kitu inaeleweka vizuri tu.
Huu mtihani ulifanyika wakati Dr. Ndalichako akiwa Katibu Mtendaji, Matokeo yake kwa shule bora ni hayo:
attachment.php

Na haya hapa pia Ndalichako alikuwa bado NECTA

attachment.php

Haya hapa ni matokeo wakati Dr. Ndalichako hayupo NECTA
attachment.php

Na haya pia yalifanyika Dr. Ndalichako akiwa hayupo NECTA:
attachment.php

Nionyeshe hizo shule zilizokuwa zikifaulu wakati Dr. Ndalichako ni ES wa NECTA ambazo sasa hatuzioni.

Pia nioneshe zile ambazo zilikuwa zinadhulumiwa na sasa zimeingia kwenye top ranking.

Mmelishwa mambo ya uongo na mnakuja hapa bila ushahidi.

Leta ushahidi au shut up!!!
 
Attachments

  • 2012.JPG
    2012.JPG
    64.2 KB · Views: 219
  • 2013.JPG
    2013.JPG
    119.6 KB · Views: 217
  • 2014.JPG
    2014.JPG
    63.1 KB · Views: 214
  • 2011.JPG
    2011.JPG
    69.3 KB · Views: 134
Huu mtihani ulifanyika wakati Dr. Ndalichako akiwa Katibu Mtendaji, Matokeo yake kwa shule bora ni hayo:
attachment.php

Haya hapa ni matokeo wakati Dr. Ndalichako hayupo NECTA
attachment.php

Na haya pia yalifanyika Dr. Ndalichako akiwa hayupo NECTA:
attachment.php

Nionyeshe hizo shule zilizokuwa zikifaulu wakati Dr. Ndalichako ni ES wa NECTA ambazo sasa hatuzioni.

Pia nioneshe zile ambazo zilikuwa zinadhulumiwa na sasa zimeingia kwenye top ranking.

Mmelishwa mambo ya uongo na mnakuja hapa bila ushahidi.

Leta ushahidi au shut up!!!

hivi vipande vyako havina mashiko angalia miaka wewe acha kubwabwaja,kama umempenda ishi nae lakini uwaziri hapati uonevu wake akaufanye kwa watoto wake silishwi wala sitegemei kulishwa ukweli naujua na unachofanya wewe ni porojo tumekatwa sana kisa naitwa ally,hassan.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom