Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mama Ndalichako hataki siasa kwenye facts,kwa falsafa ya hapa ni kazi tu,ndalichako anafaa sana.
 
kumbe kuna vitoto humu?huna unachojua ukijaaliwa kukua uje tena nikuelekeze mambo yalivyokua necta

Mi mwenyewe naweza kukufundisha ili utoe fikira potofu. Everything you use to compline you guys.
 
Waislam tutajuta umesahau yale matokeo ya mtihani ule alitufanya mini?
Sasa na nyie! Yaani mtu unategemea somo la islamic knowledge likuinulie credit, baada ya kufeli maths na physics!
 
wewe umueleweshe nani kwa mfano?huna unalojua nakuambia hivi kama unampenda sana yule bibi oa

Tukana sana ila mzee akipata atamuweka. Sijui utakimbilia wapi kamtihani kako kakiislamu ulidhani katakutoa vumbi sana. Tatizo uelewa wenu huwa ni mdogo sana. Kakojoe ulale huna la maana kazi kupakazia udini.
 
Sasa na nyie! Yaani mtu unategemea somo la islamic knowledge likuinulie credit, baada ya kufeli maths na physics!

Wambie hao hawajielewi. TCU wanaitumia kuwapangia vyuo vumbi hawa. Waende madrasa ndo linalipa. Kelele nyingi zisizo na maana.
 
Eti tulikatwa maksi kwa ufaulu upi wa maana mnao upata zaidi ya kujifunza kuandika kiarabu ili uonekane mjanja kumbe ufala. Tupa kule vumbi hizi zilizoshituka leo kuwa elimu dunia ni ya muhimu. Kuchelewa kwenu kusiwe kero kwetu eti joyce aliwabagua. Hamjiulizi islamic wanapata mikopo mara mbili sisi hatusemi ila kosa lilotokea kwenye kugawa tena kasomo ambako hakukusaidi kukupa credit kwa mfumo wa elimu yetu mnaanza kutoa maneno mabovu. Mnakera sana
 
Hatutaki wabaguzi wa kiimani serkalini! Huyu mama alitolewa kwa sababu za kubagua wanafunzi wa kiislam kwenye usahihishaji mitihani ya taifa. Hatutaki,taifa limejaa wasomi wengi wenye weledi hatutaki wabaguzi.

Wewe ulikuwa kilaza darasani alafu unaleta mambo ya kijinga humu. Mimi na wenzangu wengi tu tulifanya mtihani form four chini ya utawala wa ndalichako na tukiwa na majina Athumani, Isiaka, Issa, Hussein na ndo tuliofanya vizuri sana
 
Kama akili zao zipo kama zako wanafeli kiukweli..kwan kwenye kusahihisha ni yeye anasahihisha??
 
Mi mwenyewe naweza kukufundisha ili utoe fikira potofu. Everything you use to compline you guys.

ndo umeandka nin? Halafu si ajabu kuwa wa kwanza kutukana waliosoma madrasa..pengine umesoma hadi chuo,uliiba mitihani?
 
Tukana sana ila mzee akipata atamuweka. Sijui utakimbilia wapi kamtihani kako kakiislamu ulidhani katakutoa vumbi sana. Tatizo uelewa wenu huwa ni mdogo sana. Kakojoe ulale huna la maana kazi kupakazia udini.

uelewa wenu mdogo..akina nani?
 
hao walijenga shule miaka ya 60 na wakataka kujenga chuo kikuu pale chang'ombe kabla sie hatujawa hata na chuo kimoja,ila baba wa taifa akaivuruga taasisi yao iliyotaka kujenga,halafu kumbuka wizara ya elimu tumeishika sie hadi mwaka 1988,tena waziri mmoja alikua padri,tukawa tunafaulu sisi tu
 
Wewe ulikuwa kilaza darasani alafu unaleta mambo ya kijinga humu. Mimi na wenzangu wengi tu tulifanya mtihani form four chini ya utawala wa ndalichako na tukiwa na majina Athumani, Isiaka, Issa, Hussein na ndo tuliofanya vizuri sana

upo nje ya mada
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…