Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Huwa wanaelewa hawa!? Hawa hata uwaeleweshe uchi hawaelewi, wamekaririshwa madrassa na mashekh wao baaasi
unataka kusema nchi nzima hakuna mtu ila ndalichako?nguruwe mbaya sana kwa ustawi wa akili
Kama kuna vitu now vinanikera ni mfumo wa elimu ya upili nchini mwetu.
Yaani wamediriki hata kushusha marks ili kuongeza ufaulu?, afu eto wanaita BRN, na mijitu humu ndani inashabikia eti afadhali katoka saiz hata sisi tunafaulu.
Hivi mpumbavu gan anaweza kuweka kosa kwenye jibu sahihi, eti jibu ni 2.5 na ww umeandika hilo hilo halafu akakuwekea kosa eti kwa sababu ya dini? sio kweli.
Btw mtihan hauandikwi jina unaandikwa namba, inakuaje mtu ulalamike eti anapendela namba za watu wa dini flan, hizo namba zina alama?
Halafu yeye alikua ni mkuu wa NECTA tu sko msahihishaji wa mitihani, hao walimu wanaosahihishaga mitihan ni wa dini moja tu, km ni wa dini zote najua wanapendeleaje watahiniwa wa dini moja???
Naunga mkono huyu mama apewe wizara hii iliyooza na marks za ufaulu za zaman zirudishwe.
kwani mfumo ukirudishwa lazimana huyo bibi arudi?toa upuuzi wako tengenezen wizara kanisani kwenu mumchukue atawasaidia
Naomba ulale, kisha uamke tena plss!
Hauna ushahidi na hicho unachoandika.kwani mfumo ukirudishwa lazimana huyo bibi arudi?toa upuuzi wako tengenezen wizara kanisani kwenu mumchukue atawasaidia
Hauna ushahidi na hicho unachoandika.
Unaweza tu kuendelea kuandika hivyo kama unaandika na kuweka ushahidi!!!
By the way, kuna watu wenye uelewa mkubwa ambao wanatumia nafasi zao kupotosha wengine, na hawa wanaopotoshwa kwa kuambiwa mambo ya uongo yenye lengo la kuleta chuki, wanayameza hayo bila ushahidi wowote.
Ukweli utakuweka huru.
Soma hapa tamko la waziri wa Elimu (ambaye ni muislamu)
Huyu mama kichwa sana sema tu "Mujahidin hawakumuelewa" Na serikali ilokuwepo ililazimisha kubadili marks akachomoa basi wakamtema
Ukweli haujifichi elimu imezikwa.
Ninamfahamu vizuri sana, nimefanya naye kazi.ukitaka kujua kina cha maji zama ndani we unakuja na vi fact vyako vya juujuuu,ingia ndani uone uozo wa huyo bibi ni hatari sana
Waislamu wanataman sana kula nguruwe lakini ndiyo hivyo tena. Pia uelewe kuwa na wake wengi kunaongeza umaskini wa kipato na akili
Kwa taarifa yako, hakuna Katibu Mtendaji wa NECTA aliyedhibiti wizi/uvujaji wa mitihani kama Dr. Ndalichako.zile shule za st nani ndio zinaumia haswa yule bibi mchungaji(ndalichak) kaiba sana pepa nakumbuka wakati niko kahama mambo hayo yalikua kawaida pepa inakuja inasoviwa matokeo yakija st fulan zinaongoza
Kwa taarifa yako, hakuna Katibu Mtendaji wa NECTA aliyedhibiti wizi/uvujaji wa mitihani kama Dr. Ndalichako.
Hili hata wanaomsema kwa mengine wanakiri.
Fanya utafiti kabla ya kuongelea jambo, ukija kuongea uje na ushahidi usio na shaka.
Hapa unaleta habari za uongo zisizo na uthibitisho. Hebu tutajie hizo shule zilizokuwa zinafaidika, kisha tuwekee matokeo ya shule hizo hizo baada ya Dr. Ndalichako kuondoka.
Pia tuwekee majina na matokeo ya shule zilizokuwa zinadhulumiwa, na kisha tuwekee matokeo ya shule hizo hizo baada ya Dr. Ndalichako kuondoka.
Naapa huwezi kuja na kitu hicho, kwa kuwa facts zote zinapingana na uongeacho.
Jibiidishe kusoma siyo kutafuta huruma. Don't waste your time ni Madrasul
Huu mtihani ulifanyika wakati Dr. Ndalichako akiwa Katibu Mtendaji, Matokeo yake kwa shule bora ni hayo:hahahaha we uko shimo gani kiongozi mbona vitu hivyo viko wazi siwezi kukulisha kila kitu nenda Google angali zile st zilizokua zinaongoza miaka ile na sasa then angalia idadi ya waislam wanavyoperform sasa hivi mbona kitu inaeleweka vizuri tu.
Huu mtihani ulifanyika wakati Dr. Ndalichako akiwa Katibu Mtendaji, Matokeo yake kwa shule bora ni hayo:
Haya hapa ni matokeo wakati Dr. Ndalichako hayupo NECTA
Na haya pia yalifanyika Dr. Ndalichako akiwa hayupo NECTA:
Nionyeshe hizo shule zilizokuwa zikifaulu wakati Dr. Ndalichako ni ES wa NECTA ambazo sasa hatuzioni.
Pia nioneshe zile ambazo zilikuwa zinadhulumiwa na sasa zimeingia kwenye top ranking.
Mmelishwa mambo ya uongo na mnakuja hapa bila ushahidi.
Leta ushahidi au shut up!!!