Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
naona watu wanamkubali sana huyu mama... uncle magu naomba usikilize ya walio wengi
 

kwa nini itokee kwa somo moja tu? Sina haja ya kuitwa great thinker
 


Hapo kwenye red tu.mimi naona ni kinyume chake, kazi yake ni ku radicalize. we need to think loud and out side the box
 
Hapo kwenye red tu.mimi naona ni kinyume chake, kazi yake ni ku radicalize. we need to think loud and out side the box

soma qur'aan ukitaka kuujua uislam,sio mtu akifuga ndevu na kuongea kiarabu ukadhan ni uislam
 
Hatutaki wabaguzi wa kiimani serkalini! Huyu mama alitolewa kwa sababu za kubagua wanafunzi wa kiislam kwenye usahihishaji mitihani ya taifa. Hatutaki,taifa limejaa wasomi wengi wenye weledi hatutaki wabaguzi.

Hakutolewa aliondoka mwenyewe kwa kisingizio cha kwenda masomoni ili kukwepa ubabaishaji uliokuwa ukiendelea!
 
Hivi na wewe nilidhani ni mwelewa kumbe bure kabisaaa, mitihani yote ya taifa inafanywa kwa namba za mitihani majina ya kiislamu hapo yanatoka wapi au hata hayo ya kikikristu. Acha propaganda za kidini kama mtu amejiandaa vizuri na mitihani anafaulu vizuri tatizo la watu kutaka miteremko na kuishia kusingizia vigezo vya dini. Huyu mama yuko vizuri sana tu
 

kama namba ya azania ni s.002..namba ya ubungo islamic,ridhwaa seminary,kirinjiko islamic..zitashindwa kujulikana?..pili,mitihani ikisha sahihishwa kwa namba yanayofata hayafanywi kwa namba tena,bali namba huvishwa majina yake,ndomana matokeo ya ubungo islamic yapo vilevile miaka nenda miaka rudi japo walimu na wanafunzi ni tofaut
 
Leo.n tar 12dec..usafi tumefanya tar 9dec

Vibanda vyote ubungo kuelekea mwenge upande.wa.kushoto vilivunjwa na wanajeshi.na wahusika wakafanya usafi

Leo.vibanda vyote vimerudi naambiwa.kuna mtu wa manispaa anapita kukusanya 500 kila meza kila siku

Kwako Mh Raisi tutafika??

MANISPAA USAFI UWE KILASIKU NA SIO USANII...
 
Ameishampa waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI majukumu hayo, tuone kasi ya waziri sasa.
 
Yaani wamevirudisha kama avijabomolewa juzi bana dah
 
umeangalia upande mmoja bado wa pili fahamu hapo pamemweka mtu mjini na alikuwa hakubaliki na watu wa ubungo.
Tafakari
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…