little hulk
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 1,610
- 557
naona watu wanamkubali sana huyu mama... uncle magu naomba usikilize ya walio wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hayo yote kaeleza Kawambwa vizuri sana? Maelezo ya Ustaadh Kawambwa unayaita Blabla?
Kwa hiyo Kawambwa muongo?
Wewe mtu ambaye hutaki kurejea vyanzo vya habari vinavyoaminika, na kisha unakuja hapa na chuki zako ambazo hazina msingi wa ukweli hustahili jina la great thinker.
By the way, inaonekana kuna watu wana picha kuwa Dr. Ndalichako alikuwa akifanya kila kazi ya NECTA, kutunga mitihani, kusahihisha, kuingiza kwenye computer, kuingiza formula kwenye computer, na kukagua majina ya watu ili awabague.
Ni mpumbavu tu ndie anaweza kuamini hivyo. Wanafunzi wanaofanya mtihani ni zaidi ya 500,000 kwa mwaka. Tena wa shule ya Msingi, Sekondari na vyuo vya elimu. Haiwezekani mtu mmoja afanye yote. Ndivyo Kawambwa anavyoeleza. Watu wa kitengo cha IT ndio wanaoingiza kwenye computer, na ndio wana formula. Na Kawambwa ameelezea vizuri kilichotokea. Sasa wewe unayekataa ukweli kwa chuki zako, utakufa na gubu lako..
Kwa taarifa yako Wakuu wa Shule za Kiislamu waliiandika barua Wizara ya Elimu kushukuru jinsi tatizo lilivyoshughulikiwa
Madrasa ni elimu ya muhimu kuliko unavofikilia wewe, hiyo inampa mtu utu,huruma, kutambua utu wa mwenzio na uwepo wako katika dunia na lengo lake, vitu ambavyo huwezi kuvipata kwingineko na ukivikosa hivi lzm utaishi maisha yasiyo ya mwanadamu na hali ww ni binadamu uliyepewa kipawa kikubwa. Ndo hayo yakikosekana unasikia mtu mmoja kaiba vifaa vya hospital na kuacha watu wanakufa, kaiba rasilimali na kuacha wananchi wengine masikini wa kutupwa nk. Hivyo unaeibeza elimu yeyote inayompa ustarabu mwanadamu lzm uiweke akili yako katika mizani au uivishe miwani ya sawasawa ili kubaini mambo.
Mkiambiwa kichwani hamna mnalalamika. Jamaa kachangia kwa figures wewe unaropoka tu.
Uwaziri siyo mbege kila mtu anaweza kupewa.
Hapo kwenye red tu.mimi naona ni kinyume chake, kazi yake ni ku radicalize. we need to think loud and out side the box
Hatutaki wabaguzi wa kiimani serkalini! Huyu mama alitolewa kwa sababu za kubagua wanafunzi wa kiislam kwenye usahihishaji mitihani ya taifa. Hatutaki,taifa limejaa wasomi wengi wenye weledi hatutaki wabaguzi.
kwa nini itokee kwa somo moja tu? Sina haja ya kuitwa great thinker
Huyo NECTA ilimshinda...ataiweza wizara? Tutolee utani hapa.
Hivi na wewe nilidhani ni mwelewa kumbe bure kabisaaa, mitihani yote ya taifa inafanywa kwa namba za mitihani majina ya kiislamu hapo yanatoka wapi au hata hayo ya kikikristu. Acha propaganda za kidini kama mtu amejiandaa vizuri na mitihani anafaulu vizuri tatizo la watu kutaka miteremko na kuishia kusingizia vigezo vya dini. Huyu mama yuko vizuri sana tu
Soma maelezo ya Kawambwa.
Sasa ndiyo anateuliwa ili muandamane vizuri tuwachape.
we si umesoma,elezea
Sioni haja ya kuendekea kujadiliana na mvivu wa kusoma
Ameishampa waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI majukumu hayo, tuone kasi ya waziri sasa.Leo.n tar 12dec..usafi tumefanya tar 9dec
Vibanda vyote ubungo kuelekea mwenge upande.wa.kushoto vilivunjwa na wanajeshi.na wahusika wakafanya usafi
Leo.vibanda vyote vimerudi naambiwa.kuna mtu wa manispaa anapita kukusanya 500 kila meza kila siku
Kwako Mh Raisi tutafika??
MANISPAA USAFI UWE KILASIKU NA SIO USANII...