Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
ha ha ha simba jamani
Huyo simba akidondoka tuu hapo watamshambulia kama mpira wa kona
Kuna clip moja niliiona mbogo wakimshambulia Simba mpaka wakamuua
Nahisi huyu simba ni mzee au mgonjwa cheki alivyochakaa.....ila kuna kipindi ukishikwa kwa pabaya una panic ...mie naona anayo nafasi ya kukurupuka...sema yeye anadhani akigusa chini tu anakula pembe ya tumbo kazi kweli...
fear leads to panic, panic leads to anger, anger leads to loss of concentration, na maujanja yote kwisha
hata kama mimi ningekuwa simba sishukiNahisi huyu simba ni mzee au mgonjwa cheki alivyochakaa.....ila kuna kipindi ukishikwa kwa pabaya una panic ...mie naona anayo nafasi ya kukurupuka...sema yeye anadhani akigusa chini tu anakula pembe ya tumbo kazi kweli...
fear leads to panic, panic leads to anger, anger leads to loss of concentration, na maujanja yote kwisha
Mkuu hata kama angekuwa simba na miguvu yake mbele ya hao wadude waliomsimamia hivyo asingeweza kufurukuta
Kumshinda au kumuangusha nyati porini ni lazima wawe simba zaidi ya watatu au wanne
may be kawe katoto na wakubwa wasiwe karibu
Hapo anajua akijiachia tuu pembe zinamhusu na kupona ni majaliwa labda waje wenzake au wawe karibu kumrescue
hata kama mimi ningekuwa simba sishuki
ha ha ha simba jamani
Nahisi huyu simba ni mzee au mgonjwa cheki alivyochakaa.....ila kuna kipindi ukishikwa kwa pabaya una panic ...mie naona anayo nafasi ya kukurupuka...sema yeye anadhani akigusa chini tu anakula pembe ya tumbo kazi kweli...
fear leads to panic, panic leads to anger, anger leads to loss of concentration, na maujanja yote kwisha
Naamini pale chozi lina mtoka, maana hana skills kukwea zaidi pamoja na kubarikiwa hizo muscles..hapo alipofika haitazidi masaaa na washikaji wanajua kusubirai hao..
Ndo hapo sasa na jamaa wanasubiria wanajua atachoka na atadondoka wamfanye asusa
Kupanda zaidi hawezi kujiachia ni soo na
Washkaji wanaendelea kula majani hapo hapo na uwezekano wa wengine kujiunga hapo uupo sana wakawa wengi zaidi
Ngongo umesema kweli aise na hivo mbinu ndo simba wanaitumia wanawatenganisha mpaka abaki mmoja peke yake na bado wale wengine wanahakikisha wamewaacha mbali wasirudi maana uwezekano wa kumuokoa mwenzao upo sana
Kuna wengine wanamwokoa mwenzao hata baad ya kuangushwa na kupata majeraha ila anapoa na kujiunga na wenzake
Anatia huruma eh
Ningekuwa mpiga pctr ningefukuza nyati nimshushe simba, alafu niende zangu.
Hapo hakuna namna lazima jipu litumbuliwe.Unajua katika hilo kundi kuna madume lazima yatakuwa na hasira kwasababu ya harufu ya Simba kitakachofuata hapo ni kuutikisa mti kwa pembe hatua itakayomfanya Simba kuzidi kuchoka kwakuwa mti wenyewe umenyooka lazima atajiachia na ndio mwisho wake.
Nasikia hairuhusiwi kuamulia ugomvi porini, au mlo au kipondo kama hicho anachokisubiria babu simba hapo....unaambiwa iache nature ifate mkondo wake hhahahahah...dah....
Imagine unamuokoa huyo simba baadae upo camp simba huyohuyo ana kuwinda wewe muokozi .....anakua anakakakumbuka ka harufu kako kwenye tukio....
Huyo mamba naye ni jangiri anataka kuiba meno ya temboo!
Kwa mtu atakayepata hii clip anaweza jua mwisho wa huyu simba uliishia wapi maana uwezekano wa kupona hapo ni mdogo sana
Maana hata simba wenziwe watakuwa wanaogopa kuja kwenye kundi la nyati wengi kiasi hiki