Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Zoezi la bomoabomoa ni lazima liendelee ili kila MTANZANIA Ajifunze kuheshimu sheria za nchi.Linapaswa kudumu ili limalizike kabisa na mtu yeyote asiruhusiwe kujenga hata kibanda cha muda maana MBONGO UKIMRUHUSU KUKAA HATA KWA WIKI 2 SIKU UKIMWAMBIA ATOKE-ATAONA UNAMWONEA.BOMOAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA1. Mh Rais, sitisha hili zoezi la bomoa bomoa kwa makazi na nyumba za wanadamu. Hakuna mtu anayependa kuishi kwa tabu na shida. Watu wamepoteza maisha tayari kwa kihoro, na mashinikizo ya damu; hasa wazee. Watanzania wasiku-reflect tena kuwa wewe ni muharibu wa makazi ya Watanzania.
2.
Nakubari,ila kwa kuwa serikali inakusanya mapato nadhani tumpe mudaTengeneza mazingira ya kuwalipa wazee wetu wa iliyokuwa jumuiya ya Afrika mashariki, malipo yao. Kumbuka unapowahehimu wazee, unamgusa Mungu moja-kwa-moja.
3.
Kila mtu akaguliwe,TATIZO KUBWA LATU WENYE WAFUASI WENGI NI KWAMBA WAO HUWA HAWAKOSEI HATA KAMA WAKIUWA MTU HADHARANI.UKIWADEAL UTAONEKANA UMEWADEAL KWASABABU YA AIDHA VYAMA VYAO,AU DINI ZAO.......................Nyumba za ibada (za dini zote) zisibughudhiwe kwa namna yoyote ndani ya utawala wako, ndipo baraka zitakapoendelea kukujilia na kukupata. Barikiwa JPM.