Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Labda namba 2 na 3...hilo moja hapana hakuna nyumba zinazobomolewa bila fidia sema wabongo wabishi na kila kitu tunataka kunufaika zaidi
 
ha ha ha simba jamani

Huyo simba akidondoka tuu hapo watamshambulia kama mpira wa kona
Kuna clip moja niliiona mbogo wakimshambulia Simba mpaka wakamuua

Nahisi huyu simba ni mzee au mgonjwa cheki alivyochakaa.....ila kuna kipindi ukishikwa kwa pabaya una panic ...mie naona anayo nafasi ya kukurupuka...sema yeye anadhani akigusa chini tu anakula pembe ya tumbo kazi kweli...

fear leads to panic, panic leads to anger, anger leads to loss of concentration, na maujanja yote kwisha
 
Mkuu hata kama angekuwa simba na miguvu yake mbele ya hao wadude waliomsimamia hivyo asingeweza kufurukuta
Kumshinda au kumuangusha nyati porini ni lazima wawe simba zaidi ya watatu au wanne
may be kawe katoto na wakubwa wasiwe karibu
Hapo anajua akijiachia tuu pembe zinamhusu na kupona ni majaliwa labda waje wenzake au wawe karibu kumrescue
 
hata kama mimi ningekuwa simba sishuki
 
Naamini pale chozi lina mtoka, maana hana skills kukwea zaidi pamoja na kubarikiwa hizo muscles..hapo alipofika haitazidi masaaa na washikaji wanajua kusubirai hao..
 
Tatizo la ardhi imekuwa ni changamoto kwa Tanzania nzima. Binadamu wanaongezeka ila ardhi haiongezeki. Kupata kiwanja kilichopimwa sasa hivi imekuwa ni issue. Baadhi ya mikoa havipatikani kabisa na hata vikipatikana bei yake haikamatiki.

Ila nadhani watu wa ardhi inabidi waamke sasa. si kukaa ofisini tu. wawe wanakagua yale maeneo yasiyoruhusiwa kujengwa mara kwa mara kusudi wakiona mtu anaanza kujenga wamkataze mapema. Pia wawashirikishe na viongozi wa serikali za mtaa.
 
Mkuu mxyo16 haijalishi Simba ni Mzee au Kijana shughuli ya Mbogo ni pevu hata wawindaji wanatakwambia Mbogo si mchezo wa kitoto.Simba mmoja hana uwezo wa kumshuhulikia Mbogo lazima wawe watatu,wanne au watano na bado kazi itakuwa ngumu kweli kweli wakifanikiwa wengine watakuwa na majeraha.Sijawahi kuona Simba mmoja akimshambulia Mbogo.Mara nyingi kundi la Simba wanatumia mbinu ya kuwakurupusha Mbogo na kutenganisha akibaki mmoja ndio wanakuwa na uwezo wa kuattack.

Nahisi huyu simba ni mzee au mgonjwa cheki alivyochakaa.....ila kuna kipindi ukishikwa kwa pabaya una panic ...mie naona anayo nafasi ya kukurupuka...sema yeye anadhani akigusa chini tu anakula pembe ya tumbo kazi kweli...

fear leads to panic, panic leads to anger, anger leads to loss of concentration, na maujanja yote kwisha
 
Last edited by a moderator:
Naamini pale chozi lina mtoka, maana hana skills kukwea zaidi pamoja na kubarikiwa hizo muscles..hapo alipofika haitazidi masaaa na washikaji wanajua kusubirai hao..

Ndo hapo sasa na jamaa wanasubiria wanajua atachoka na atadondoka wamfanye asusa
Kupanda zaidi hawezi kujiachia ni soo na
Washkaji wanaendelea kula majani hapo hapo na uwezekano wa wengine kujiunga hapo uupo sana wakawa wengi zaidi
 
Ngongo umesema kweli aise na hivo mbinu ndo simba wanaitumia wanawatenganisha mpaka abaki mmoja peke yake na bado wale wengine wanahakikisha wamewaacha mbali wasirudi maana uwezekano wa kumuokoa mwenzao upo sana
Kuna wengine wanamwokoa mwenzao hata baad ya kuangushwa na kupata majeraha ila anapoa na kujiunga na wenzake
 
Last edited by a moderator:
Ndo hapo sasa na jamaa wanasubiria wanajua atachoka na atadondoka wamfanye asusa
Kupanda zaidi hawezi kujiachia ni soo na
Washkaji wanaendelea kula majani hapo hapo na uwezekano wa wengine kujiunga hapo uupo sana wakawa wengi zaidi

hahahahahah siku ya soo ni soo tu
 
Hapo hakuna namna lazima jipu litumbuliwe.Unajua katika hilo kundi kuna madume lazima yatakuwa na hasira kwasababu ya harufu ya Simba kitakachofuata hapo ni kuutikisa mti kwa pembe hatua itakayomfanya Simba kuzidi kuchoka kwakuwa mti wenyewe umenyooka lazima atajiachia na ndio mwisho wake.

Ngongo umesema kweli aise na hivo mbinu ndo simba wanaitumia wanawatenganisha mpaka abaki mmoja peke yake na bado wale wengine wanahakikisha wamewaacha mbali wasirudi maana uwezekano wa kumuokoa mwenzao upo sana
Kuna wengine wanamwokoa mwenzao hata baad ya kuangushwa na kupata majeraha ila anapoa na kujiunga na wenzake
 
Anatia huruma eh
Ningekuwa mpiga pctr ningefukuza nyati nimshushe simba, alafu niende zangu.

Nasikia hairuhusiwi kuamulia ugomvi porini, au mlo au kipondo kama hicho anachokisubiria babu simba hapo....unaambiwa iache nature ifate mkondo wake hhahahahah...dah....

Imagine unamuokoa huyo simba baadae upo camp simba huyohuyo ana kuwinda wewe muokozi .....anakua anakakakumbuka ka harufu kako kwenye tukio....
 
Hapo hakuna namna lazima jipu litumbuliwe.Unajua katika hilo kundi kuna madume lazima yatakuwa na hasira kwasababu ya harufu ya Simba kitakachofuata hapo ni kuutikisa mti kwa pembe hatua itakayomfanya Simba kuzidi kuchoka kwakuwa mti wenyewe umenyooka lazima atajiachia na ndio mwisho wake.

Kwa mtu atakayepata hii clip anaweza jua mwisho wa huyu simba uliishia wapi maana uwezekano wa kupona hapo ni mdogo sana
Maana hata simba wenziwe watakuwa wanaogopa kuja kwenye kundi la nyati wengi kiasi hiki
 
Nasikia hairuhusiwi kuamulia ugomvi porini, au mlo au kipondo kama hicho anachokisubiria babu simba hapo....unaambiwa iache nature ifate mkondo wake hhahahahah...dah....

Imagine unamuokoa huyo simba baadae upo camp simba huyohuyo ana kuwinda wewe muokozi .....anakua anakakakumbuka ka harufu kako kwenye tukio....

Kabisa huruhusiwi aise we angalia piga picha zako waache waendelee na mambo yao
Kuna clip moja ya simba wana[ambana na nyati unaambiw awalikuwa wanapambana mpaka chini ya gari ya watalii ila hakuna aliyewagusa mpaka wakamaliza mambo yao
 
Huyo mamba naye ni jangiri anataka kuiba meno ya temboo!

hahahah ndio hayo tunasema majipu yanatumbuka.....analake mamba au ni wa kutumwa... yani kaachaa wanyama wote anavamia huyu mwenye nyara za taifa!
 
Nyumba zote zilizo jengwa katika maeneo hatarishi( kwenye Mikondo ya mito n. k) lazima yavunjwe, kusiwepo na huruma aliye kiuka amri halali ya mamlaka
 
Kwa mtu atakayepata hii clip anaweza jua mwisho wa huyu simba uliishia wapi maana uwezekano wa kupona hapo ni mdogo sana
Maana hata simba wenziwe watakuwa wanaogopa kuja kwenye kundi la nyati wengi kiasi hiki

huyu alipigwa tu hakuna namna....kwa uzito wake na kuusapoti kwa kucha lazima alichoka akaanguka kapika ukelele,, akapewa dozi....ndio mwisho wake hapo....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom