Mkuu mxyo16 haijalishi Simba ni Mzee au Kijana shughuli ya Mbogo ni pevu hata wawindaji wanatakwambia Mbogo si mchezo wa kitoto.Simba mmoja hana uwezo wa kumshuhulikia Mbogo lazima wawe watatu,wanne au watano na bado kazi itakuwa ngumu kweli kweli wakifanikiwa wengine watakuwa na majeraha.Sijawahi kuona Simba mmoja akimshambulia Mbogo.Mara nyingi kundi la Simba wanatumia mbinu ya kuwakurupusha Mbogo na kutenganisha akibaki mmoja ndio wanakuwa na uwezo wa kuattack.
huyu alipigwa tu hakuna namna....kwa uzito wake na kuusapoti kwa kucha lazima alichoka akaanguka kapika ukelele,, akapewa dozi....ndio mwisho wake hapo....
Nasikia hairuhusiwi kuamulia ugomvi porini, au mlo au kipondo kama hicho anachokisubiria babu simba hapo....unaambiwa iache nature ifate mkondo wake hhahahahah...dah....
Imagine unamuokoa huyo simba baadae upo camp simba huyohuyo ana kuwinda wewe muokozi .....anakua anakakakumbuka ka harufu kako kwenye tukio....
Duh si mchezo, yani mpaka simba kaamua kupanda juu ya mti kujiokoa amejua hawa hawawezi kukwea, lakini jamaa wakajenga kibanda wanajua atashuka tu.
Nyati hurusha mkojo wake kwa adui aliyejificha mtini, yani anakojolea mkia alafu anarusha maji maji yale, huo muwasho lazima simba aachie mti.
Kwa iyo hapo wanasubiri mmoja apate mkojo wamrushie waanze mshughulikia.
Nyumbu katika Ubora wao.
!!! Bro haya sio matango pori kweli unatulisha?
Nyati hurusha mkojo wake kwa adui aliyejificha mtini, yani anakojolea mkia alafu anarusha maji maji yale, huo muwasho lazima simba aachie mti.
Kwa iyo hapo wanasubiri mmoja apate mkojo wamrushie waanze mshughulikia.
Hehee
Lkn kuna mtu alimwona simba porini anachechemea, kutembea shida kabisa, jamaa akamtoa mwiba, simba hakumfanya kitu. Hii ni true story.
Hiyo namba tatu!!! nakushangaa sana viongozi wa dini ndio wanafundisha watu maadili, ikiwa ni pamoja na kufuata sheria na kuheshimu mamlaka!! sasa wakati wanajenga nyumba za ibada maeneo ambayo ni " NO PARKING " walifuata utaratibu na kupewa vibali? sasa wengine wamejenga maeneo ya vyanzo vya maji, juu ya mabomba ya maji, kwenye mitaro je tuache watu wengine wataseke?1. Mh Rais, sitisha hili zoezi la bomoa bomoa kwa makazi na nyumba za wanadamu.hakuna mtu anaependa kuishi kwa tabu na shida. watu wamepoteza maisha tayari kwa kihoro, na mashinikizo ya damu;
hasa wazee.Watanzania wasiku-reflect tena kuwa wewe ni muharibu wa Makazi ya watanzania.
2. Tengeneza mazingira ya kuwalipa wazee wetu wa iliyokuwa jumuiya ya Afrika mashariki,
malipo yao. Kumbuka unapowahehimu wazee, unamgusa Mungu, moja-kwa-moja
3. Nyumba za ibada(za dini zote) zisibughudhiwe kwa namna yoyote ndani ya utawala wako, ndipo baraka zitakapoendelea kukujilia na kukupata. barikiwa JPM.