Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mkuu mxyo16 haijalishi Simba ni Mzee au Kijana shughuli ya Mbogo ni pevu hata wawindaji wanatakwambia Mbogo si mchezo wa kitoto.Simba mmoja hana uwezo wa kumshuhulikia Mbogo lazima wawe watatu,wanne au watano na bado kazi itakuwa ngumu kweli kweli wakifanikiwa wengine watakuwa na majeraha.Sijawahi kuona Simba mmoja akimshambulia Mbogo.Mara nyingi kundi la Simba wanatumia mbinu ya kuwakurupusha Mbogo na kutenganisha akibaki mmoja ndio wanakuwa na uwezo wa kuattack.

nahisi hapa nyati wali adapt game ya simba waka m-round yeye, and it worked hahahah
 
Duh si mchezo, yani mpaka simba kaamua kupanda juu ya mti kujiokoa amejua hawa hawawezi kukwea, lakini jamaa wakajenga kibanda wanajua atashuka tu.
 
huyu alipigwa tu hakuna namna....kwa uzito wake na kuusapoti kwa kucha lazima alichoka akaanguka kapika ukelele,, akapewa dozi....ndio mwisho wake hapo....

Hahahah kwa uhakika kabisa maana kucha zake haziwezi support uzito huo kwa muda mrefu kabla hajajiachia na kuwa asusa
Mamba naona anataka kuvamia nyara sijui katumwa huyu
 
Namba mbili tu ndio yenye mashiko. Huwezi kujenga mahali hatarishi uachwe tu kwa vile ni nyumba ya ibada au ya kuishi. Sheria lazima ichukue mkondo wake.
 
Jaribu kujiweka katika nafasi ya simba ndo utakapo muhurumia.
 
The STUNNING IMAGES that feature in the photographs in the 2015 in 'THE DAILY MAIL UK'.
 
Nasikia hairuhusiwi kuamulia ugomvi porini, au mlo au kipondo kama hicho anachokisubiria babu simba hapo....unaambiwa iache nature ifate mkondo wake hhahahahah...dah....

Imagine unamuokoa huyo simba baadae upo camp simba huyohuyo ana kuwinda wewe muokozi .....anakua anakakakumbuka ka harufu kako kwenye tukio....

Hehee
Lkn kuna mtu alimwona simba porini anachechemea, kutembea shida kabisa, jamaa akamtoa mwiba, simba hakumfanya kitu. Hii ni true story.
 
Duh si mchezo, yani mpaka simba kaamua kupanda juu ya mti kujiokoa amejua hawa hawawezi kukwea, lakini jamaa wakajenga kibanda wanajua atashuka tu.

Nyati hurusha mkojo wake kwa adui aliyejificha mtini, yani anakojolea mkia alafu anarusha maji maji yale, huo muwasho lazima simba aachie mti.
Kwa iyo hapo wanasubiri mmoja apate mkojo wamrushie waanze mshughulikia.
 
!!! Bro haya sio matango pori kweli unatulisha?
 
Nyati hurusha mkojo wake kwa adui aliyejificha mtini, yani anakojolea mkia alafu anarusha maji maji yale, huo muwasho lazima simba aachie mti.
Kwa iyo hapo wanasubiri mmoja apate mkojo wamrushie waanze mshughulikia.

hahahah hii stori huwa ipo lakini sijui kama ina ukweli
 
Hehee
Lkn kuna mtu alimwona simba porini anachechemea, kutembea shida kabisa, jamaa akamtoa mwiba, simba hakumfanya kitu. Hii ni true story.

hahaahh umechanganya mkuu ni stori hii nilishaisikia, labda kama walimpiga sindano ya usingizi, (tranquilizer) ....mie nahisi mnyama waporini mwiba huwa hauingii aisee.....ule unyayo ni kama tairi ya Goodyear iliyojaa upepo msumari haungii hahaha siko sure lakini...

ujue watu wa vijijini wanaotembea peku huwa hawalalamiki miba...asa itakua simba kweli....

na wanyama waporini sio wakusogelea aisee ni time bombs......Kibao kimoja tu cha simba na hizi chips mayai zetu..mnh
 
Hata mikondo mingi ya Maji na vijito JIJINI DAR WATU WAMEJENGA KWA AMRI HI NAO WOTE WATAVUNJIWA AMA NI HAWA TU WA JANGWANI/MKWAJUNI. WAENDE NA HUKO KWINGINEKO NDO MAANA MVUA KIDOGO DAR MAFURIKO KILA MAHALI.NA SIYO KUWA WANAWAONEA LAKINI LIBAKI KAMA FUNZO KWA WALE WANAODIRIKI KUJENGA MAENEO HAYO
 
1. Mh Rais, sitisha hili zoezi la bomoa bomoa kwa makazi na nyumba za wanadamu.hakuna mtu anaependa kuishi kwa tabu na shida. watu wamepoteza maisha tayari kwa kihoro, na mashinikizo ya damu;
hasa wazee.Watanzania wasiku-reflect tena kuwa wewe ni muharibu wa Makazi ya watanzania.

2. Tengeneza mazingira ya kuwalipa wazee wetu wa iliyokuwa jumuiya ya Afrika mashariki,
malipo yao. Kumbuka unapowahehimu wazee, unamgusa Mungu, moja-kwa-moja

3. Nyumba za ibada(za dini zote) zisibughudhiwe kwa namna yoyote ndani ya utawala wako, ndipo baraka zitakapoendelea kukujilia na kukupata. barikiwa JPM.
Hiyo namba tatu!!! nakushangaa sana viongozi wa dini ndio wanafundisha watu maadili, ikiwa ni pamoja na kufuata sheria na kuheshimu mamlaka!! sasa wakati wanajenga nyumba za ibada maeneo ambayo ni " NO PARKING " walifuata utaratibu na kupewa vibali? sasa wengine wamejenga maeneo ya vyanzo vya maji, juu ya mabomba ya maji, kwenye mitaro je tuache watu wengine wataseke?
 
Kwa comments tu hizo chache naomba kujua mleta post kama unajua yalivyo mawazo ya watu kabla ya Mungu mwenyewe kutimiza maombi yako! Ungekuwa wewe ndie rais unazani kwa mawazo yako hayo iwapo ungetatekeleza yangekuzidishia baraka kutoka kwa Mungu ukizingatia comments wa wadau hapo juu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom